Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
Kuna mchizi alitaka kunichomoa buku
ila alizunguka sana
jamaa:unasoma chuo gani mwanangu
nyamu: udsm
jamaa: palepale mlimani?
Nyamu:ndyo
jamaa: palepale aliposoma kawawa?
nyamu :ndiyo
jamaa: palepale aliposoma sita na kikwete
nyamu:ndyo
jamaa: unajua mwanangu we jiniazi unatakusema ni palepale aliposoma asha rozi
nyamu:ndyo
jamaa:mwanangu nitoe basi na buku
duu ilibidi tu nimpe hyo buku haha
ila alizunguka sana
jamaa:unasoma chuo gani mwanangu
nyamu: udsm
jamaa: palepale mlimani?
Nyamu:ndyo
jamaa: palepale aliposoma kawawa?
nyamu :ndiyo
jamaa: palepale aliposoma sita na kikwete
nyamu:ndyo
jamaa: unajua mwanangu we jiniazi unatakusema ni palepale aliposoma asha rozi
nyamu:ndyo
jamaa:mwanangu nitoe basi na buku
duu ilibidi tu nimpe hyo buku haha