Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,090
- 2,705
Ngoja waje kukupa muongozo...
We fala c umeibiwa TV leo!
Tv Inch ngapi na fridge ni la lita ngap pamoja na watt zake
Sola panel ni watt ngapi na betri ni NS ngapi?
Inaoneka wewe ni mweupe kwenye solar,
Inatakiwa ujue mzigo wako ni kihasi gani = Total watts.
Ukishajua Load yako ndipo yafanyike mahesabu kuweza kujua capacity ya kununua Pannel na battery,charge controller na inverter.
Solar pasu kichwa ,inahitaji investiment kubwa kupata umeme wa uhakika ila kama simple tu unaweza kuwacheck zolar wakakupa TV 32" ,taa 5 ,radio,chaji ya simu kwa malipo ya 175,000 awali na 71,000/= kwa mwezi kwa muda wa miaka mi1ili.Ndyo nilitoka nyumba ya umeme wa kawaida sasa apa kwa solar mtiti
Mkuu naomba kuuliza.Inaoneka wewe ni mweupe kwenye solar,
Inatakiwa ujue mzigo wako ni kihasi gani = Total watts.
Ukishajua Load yako ndipo yafanyike mahesabu kuweza kujua capacity ya kununua Pannel na battery,charge controller na inverter.
Lamination Machine ina Capacity(Watts) gani?Mkuu naomba kuuliza.
Ninaishi kijijini na nina Solar watt 80+80=160 watt pamoja na battery N100, Inverter watt 200 ambapo nina pc, printer, tv na king'amuzi na vyote inasukuma, je' nataka ninunue Lamination machine kwa hiyo Battery N100 itamudu kweli?