Unasolve vipi uchache wa umeme wa solar

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,027
2,654
Hivi karibuni nimehamia nyumba isiyo na umeme wanatumia solar
Na nilikua na frij Tv kubwa na redio
Nimenunua invertor kwan solar na betri lipo

Sasa changamoto umeme autoshi ukiwasha redio mara moja nusu saa unaisha!!! Had ijichaj !! Ukiwasha tv ndo dk 0 umekata

Je wewe unasolve vip hili swala uweze kuangalia tv n kusikiliza redio kama kwene umeme wa tanesco!!

Je n vifaa gan nitafute??

Nb nina vifaa vya umeme wa kawaida cyo vya solar
 
Inaoneka wewe ni mweupe kwenye solar,

Inatakiwa ujue mzigo wako ni kihasi gani = Total watts.

Ukishajua Load yako ndipo yafanyike mahesabu kuweza kujua capacity ya kununua Pannel na battery,charge controller na inverter.
 
Ndyo nilitoka nyumba ya umeme wa kawaida sasa apa kwa solar mtiti
 
Solar pasu kichwa ,inahitaji investiment kubwa kupata umeme wa uhakika ila kama simple tu unaweza kuwacheck zolar wakakupa TV 32" ,taa 5 ,radio,chaji ya simu kwa malipo ya 175,000 awali na 71,000/= kwa mwezi kwa muda wa miaka mi1ili.
 
Inaoneka wewe ni mweupe kwenye solar,

Inatakiwa ujue mzigo wako ni kihasi gani = Total watts.

Ukishajua Load yako ndipo yafanyike mahesabu kuweza kujua capacity ya kununua Pannel na battery,charge controller na inverter.
Mkuu naomba kuuliza.
Ninaishi kijijini na nina Solar watt 80+80=160 watt pamoja na battery N100, Inverter watt 200 ambapo nina pc, printer, tv na king'amuzi na vyote inasukuma, je' nataka ninunue Lamination machine kwa hiyo Battery N100 itamudu kweli?
 
Lamination Machine ina Capacity(Watts) gani?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom