Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
50 cent - best friend
wapo-ney wa mitegoWestlife- If I let you go
-
Brandy- True
Shule ganNakumbuka primary nilikua na classmate anaitwa nyangeta
Na wewe unataka kutupangia nyimbo za kusikiliza? unamawazo kama ya magufuli.% kubwa ya comments za hii post ni nyimbo za wazungu [emoji3][emoji3][emoji3] wakati wao hata hawana time na nyimbo zetu
hahahaha babu bomba hatari sanaHaya maneno huwa nikiyasikiliza nacheka sana.
"Unachoogopa nini shoboka na Mimi"
Unju alikuwa Tishio,
"Unalinga na boksa moja wakati Mimi na chup* kibao.
Hiyo sio dedication kweli??Prof Jay-Nang'atuka.
"Tangu nilipoomba kura kwenye Ndio mzee,
Makanipa kura na kusababisha uchumi ulegee,
Nikasisitiza masuala ya Ajira kumbe mwongo nikaanza kugawa Vyeo kwa hila,
Niliona bora Uongozi na si Uongozi bora,
Nilishuhudia watu wakifa kwa Njaa Kali nakukaa kimya na kujifanya sina habari,
Nakila wakinishutumu nilisema hiyo ni Siasa"
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hapana,Hiyo sio dedication kweli??