Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Karibu...eti mtoto kwani wewe wa mwaka gani vileeemh kama ni miaka hiyo kweli nilikua mtoto pia.... asantee umenitoa ushamba. ntakutafuta unielezee vizuri[emoji4]
Karibu...eti mtoto kwani wewe wa mwaka gani vileeemh kama ni miaka hiyo kweli nilikua mtoto pia.... asantee umenitoa ushamba. ntakutafuta unielezee vizuri[emoji4]
Wamejaribu kuelezea utata wa uwepo wa binadamu mkuu na yanayotendeka duniani juu yake.Ina maana gani kiongozi..
mh ntatoa siri za kampuni sasa.Karibu...eti mtoto kwani wewe wa mwaka gani vileee
Haha haya nimekuelewamh ntatoa siri za kampuni sasa.
AsanteWamejaribu kuelezea utata wa uwepo wa binadamu mkuu na yanayotendeka duniani juu yake.
Mwisho wa siku na wao wanakosa majibu. Ikabidi waseme uvumilivu unahitajika.
Ila ni kama dongo Fulani wamelielekeza kwa wanaojiita wasomiKaribu...eti mtoto kwani wewe wa mwaka gani vileee
Wamejaribu kuelezea utata wa uwepo wa binadamu mkuu na yanayotendeka duniani juu yake.
Mwisho wa siku na wao wanakosa majibu. Ikabidi waseme uvumilivu unahitajika.
YeahIla ni kama dongo Fulani wamelielekeza kwa wanaojiita wasomi
The average man can't prove of most of the thingsWamejaribu kuelezea utata wa uwepo wa binadamu mkuu na yanayotendeka duniani juu yake.
Mwisho wa siku na wao wanakosa majibu. Ikabidi waseme uvumilivu unahitajika.
Nimekuelewa sanaYeah
Damian anakuambia
Scholars teach in Universities/
and claim that they're smart and cunning/
Tell them find a cure when we sneeze/
And that's when their nose start running/
Pia media..dini..na mambo mengi ila naona yote wakaja kuyaunganisha na idea ya human existence and universe at large.