Mbushuu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 2,180
- 3,419
Nahisi mkuu.Hivi huyu jamaa huwa ana nyimbo mbili tu??
Nahisi mkuu.Hivi huyu jamaa huwa ana nyimbo mbili tu??
Naskiliza wimbo wa P mawenge ft Zaiid.Habar
Kila siku na mood yake!mi saa izi nasikiliza wimbo
Wa “lavalava -habibi”
#maishaSiyoKuwaSeriousMudaOte
Tuambie unasikiliza wimbo gan Au ndo unasikiliza makelele ya mkeo??![]()
LoiHabar
Kila siku na mood yake!mi saa izi nasikiliza wimbo
Wa “lavalava -habibi”
#maishaSiyoKuwaSeriousMudaOte
Tuambie unasikiliza wimbo gan Au ndo unasikiliza makelele ya mkeo??![]()
Master kg?londoloze
Yah, play list zangu ni old schools kwa 95%