Unashauriwa na Mkeo?...Utachanganyikiwa!!

Mai mai!
Hapa wifi sina!
 
Kweli nimeamini mkiwa gud couple mnafanana sana kitabia kama Pakajimmy na Pearl ..can't imagine ..
 
Uzuri huwa tunakubaliana mambo mengi sana Sydney
 
wifi zangu mna mamboooo,mshikaji tu,(huwa ananipa poket money pj akisahau)

eeeeeh naona au naonewa....generator limeathiri masikio na sasa naona athari zaelekea machoni......
hata ulipoandika na penseli nimeona kweli??
 
Twinuska rememba wer sisters frm another maza!dnt break ze promise(keep it down low)
eeeeeh naona au naonewa....generator limeathiri masikio na sasa naona athari zaelekea machoni......
hata ulipoandika na penseli nimeona kweli??
 
lets go home B! hapa utakuja kuona hadi visivoonekana

wakubwa wapo kazini...umeshaleta unga?

kweli wakubwa at work
am kinda confused vile???

twende lakini mashineni siendi haki ya naniliuu vile......tutasonga ngano ya azam B
 
Angalia familia nyingi mbovumbovu na ambazo hazina mwelekeo ni zile ambazo baba anaamua tu kila kitu bila kumshauri mkewe. Kushauriana "both sides" ni lazima kwa maendeleo ya familia.
 
wifi zangu mna mamboooo,mshikaji tu,(huwa ananipa poket money pj akisahau)
tehe tehe!
Unakumbuka ule wimbo wa wale jamaa wa Arusha walikuwa wanatembea na gitaa kila mahali, nimewasahau hata jina. HAINA NOMA NI NI MSHKAJI TUU!!

PJ unaliwa hapo, usikubali ushauri wa my wifey wako wa JF
 
mandojo na domokaya
tehe tehe!
Unakumbuka ule wimbo wa wale jamaa wa Arusha walikuwa wanatembea na gitaa kila mahali, nimewasahau hata jina. HAINA NOMA NI NI MSHKAJI TUU!!

PJ unaliwa hapo, usikubali ushauri wa my wifey wako wa JF
 
Angalia familia nyingi mbovumbovu na ambazo hazina mwelekeo ni zile ambazo baba anaamua tu kila kitu bila kumshauri mkewe. Kushauriana "both sides" ni lazima kwa maendeleo ya familia.

I dont think so.
Mi ushauri nasikiliza, ila sio lazima niufuate, maushauri ya kwamba tujenge Kigamboni kwanza wakati nikenda Kwetu Kiraracha nalala kwa baba yangu? Hakuna hiyo, kwanza mjengo Kiraracha, then ndo mambo mengine.

Wanawake wanapenda show ile mbaya. Akiona mwenzie amefanya kitu, anataka kukilazimishia na nyie mfanye.

Heshima mbele kwa ladies, I lov them, na nakubali nyie ni watamu ile mbaya......source ya Mwanamme kuona maisha ni matamu ni mwanamke bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…