gasto genaro
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 780
- 554
UNASHANGAA SAMATTA KUKOSA PENATI?? HAUJIULIZI PELE, MARADONA, SOCRATES, RONALDO, MESSI WAMEKOSA MARA NGAPI??
Na : Gasto Di Genaro
Kuna jamaa yangu, Nilikuwa nimekaa nae karibu, wakati mechi ya Tanzania na Egypt ikiendelea..... Akawaka kweli pale Samatta Ally Mbwana alipokosa penati yake dhidi ya Mafarao wa Misri..
Jamaa alisikika akisema kwa sauti, "Huyu kalewa mafanikio, kajishusha sana.. Penati gani ile mbovu, anyang'anywe unahodha apewe John Bocco"..
Alipomaliza, nilimtazama, nikatamani niigize muvi ya Rambo mara moja.., nimtie upofu wa macho na ulemavu wa meno, kwa ngumi za Mohammed Ali...
Anasahau kitu kidogo sana... Penati ni pigo huru.. Golikipa anaona goli kubwa, mpigaji anaona goli dogo.. Mbwana kajitahidi kufanya alichotakiwa kufanya., ila hesabu hazikutimia..
Anakosa penati Lionel Messi, mchezaji bora wa Dunia mara 5.. Leo unasema Samatta kajishusha??
Ronaldo Cristiano, mchezaji bora wa Dunia hii mara 3, kwenye fainali ya Ligi ya mabingwa Ulaya 2008, kule Moscow, anakosa penati.. Unasema Samatta kajishusha??? Kwenye fainali hizo hizo, John Terry, alipiga penati mbovu kuliko ya Samatta kwenye Fainali ya 2008.. Tena Terry akiwa nahodha..
Juzi alikosa Antoine Griezman.. Kwenye mechi ya fainali ya ligi ya mabingwa ulaya.. Kwenye dimba la Giussepe Meazza, Vipi, na yeye alijishusha??
Anakosa penati Pele, Socrates (Penalties specialist), Maradona, Garincha, Messi, Ronaldo, Beckham, Alessandro Del Piero, Robert Pires, Baggio.. Lampard, Owen..
Akose Samatta wa Genk.. (ambaye hata huko ulaya, ndiyo kamaliza nusu msimu sasa) Mnalalamika??
Nani amewapa sumu hii hawa washangiliaji wa Tanzania?? Basi ajitokeze mtu hapa.., aseme.. Mchezaji gani mkubwa wa Soka hajawahi kukosa penati..
Tena Edson Arantés Dos Nascimento "Pelé" amewahi kukosa penati 3, decisive penalties (penati za maamuzi) ...
Ingia kwenye mtandao wa YouTube, katika link hii, utaona the worst penalties ever.., ya Samatta haipo humo... Utaona maajabu ya watu wanavyokosa penati..
Unashangaa Samatta, aliyepiga penati ya ufundi kabisaa.. Tazama video katika link hii
Mchezaji yoyote chini ya Jua, anakosa penati...
Gasto Di Genaro
Shabiki wa kufa wa Man Utd.