Unasemaje kuhusu hii Picha?

Ni vigumu kuzielezea hizo picha kwani zinasikitisha sana, The world is not fair.
 
picha ya kwanza wamekonda kwa njaa kali,ya pili wako harusini na yatatu mtoto anakula chakula kilichoko chini...
 
Ndio mnaambiwa siku zote, usitazame aliyo juu yako, tazama aliyo chini yako.
 
This is too much!

Ndugu,

Picha 1: Bwana ndogo amembeba ndogo wake japo haonyeshi kama ana nguvu za kumbeba kwa muda mrefu kwa sababu ya njaa
Picha 2: Washiriki wamekula, wamesaza ila wanasubiri watumishi kwenda kumwaga
Picha 3: Njaa kali sana si kwamba anakula chakula kilichotupwa ila anakula chakula kilichotoka tumboni mwake kupitia njia ya nyuma.

NB: Pale ambapo utakuwa unakula na unashiba au unatupa au unampa mtoto chakula anakataa kumbuka picha hizi. Fikilia siku zijazo hali inakuwa hivyo kwako, ..... Tafadhali weka akiba pamoja na kwamba uchumi umevulugika
 
Ataelewa kivipi mkuu hebu tufahamishe

Akienda kwa huyu dogo, akimsikiliza kwa makini akawasikiliza wazazi wake kwa makini, akimsikia kuomba wake kwa makini, akimsikia mwalimu wake na wengineo wa aina hiyo hakika atajua fika tatizo la Tanzania ni nini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…