Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,443
high imagination iz needed
Mkuu umenikumbusha tukio la kuanguka kwa ghorofa karikaoo, kwa mara ya kwanza tokea sikumbuki lini vyombo vya Kimagharibi Aljazeera na Sky News wameripoti tukio.Mkuu chamakh Ni Kweli huyu Tai ni Nchi za Ulaya Magharibi
Uingereza,Ufaransa,Italy,Ujerumani, na Amerika wanakuja kwa huyo Mtoto ni Mfano wa nchi za Bara la Afrika njaa tupu wanakuja na
vijimisaada vya uongo na kweli kisha wakachukuwa dhahabu,Uranium, Gas, Almasi na Madini yote wakisha chukuwa wakatuacha sisi
Wa-Afrika na njaa yetu ipo pale pale. Wanatusaidia kwa uongo kisha wanatuuwa kwa Maradhi ya AIDS Ukimwi Ugonjwa Wa Saratani
na Ugonjwa WA Kisukari tunakufa huku wanatucheka jamani tuamke na hivyo viji msaada vya Pumba.
Mkuu chamakh Ni Kweli huyu Tai ni Nchi za Ulaya Magharibi
Uingereza,Ufaransa,Italy,Ujerumani, na Amerika wanakuja kwa huyo Mtoto ni Mfano wa nchi za Bara la Afrika njaa tupu wanakuja na
vijimisaada vya uongo na kweli kisha wakachukuwa dhahabu,Uranium, Gas, Almasi na Madini yote wakisha chukuwa wakatuacha sisi
Wa-Afrika na njaa yetu ipo pale pale. Wanatusaidia kwa uongo kisha wanatuuwa kwa Maradhi ya AIDS Ukimwi Ugonjwa Wa Saratani
na Ugonjwa WA Kisukari tunakufa huku wanatucheka jamani tuamke na hivyo viji msaada vya Pumba.
Unasaemaje kuhusu hii Picha? Ipe maneno Picha yangu hii.......
![]()
huyo ni ndege mwenye nia mbaya na huyo mtoto, amemuona kachoka, anampa maji machache apate nguvu ili amwamini ila mwisho wa siku ndege atamla tu huyo mtoto
kwangu naweza kusema ni hito ni Taashira(Ni matumizi ya lugha ya ishara kuwakilisha ujumbe fulani. Jina au kitu fulani kinatumika kumaanisha kitu kingine chenye uhusiano na kile kilichotumiwa-Symbolism) na huyo tai ni kama mabeberu-nchi za magharibi wanaokuja kutusaidia waafrika na nchi zenye dhiki kwa misaada midogo ya madawa na neti za mbu lakini m,wishoni wataondoka na mali nyingi zaidi-madini, gesi n.k- na mwishowe tutakuwa tumeliwa
hivi ndivyo ninavyoidadavua hiyo picha
Hakuna, hilo dege linamlisha/linamnyesha mtoto ili angalau anenepe nenepe apate kumla akiwa amenona. Hivyo hivyo ndo watufanyavyo mafisadi..... anakuletea vimisaada kidogo wakati wa uchaguzi, halafu baada ya hapo anatorosha wanyama 104... akiwemo TIGWA, anaitwa hivyo kwa vile katoroshwa lakini kama angebaki TZ angeitwa TWIGAHakuna kiumbe kilichoumbwa na Mungu bila akili. Huyu ndege (tumbusi - vulture kwa kiingereza) alifikiri mtoto kafa ila baada ya kumsogelea akaona ni njaa tu inamsumbua ndipo akamletea maji/uji kuamsha tumbo ili apate nguvu aendelee na maisha yake. Big up mheshimiwa waziri, picha imeleta tafsiri nyingi sana kichwani mwangu.
Hakuna, hilo dege linamlisha/linamnyesha mtoto ili angalau anenepe nenepe apate kumla akiwa amenona. Hivyo hivyo ndo watufanyavyo mafisadi..... anakuletea vimisaada kidogo wakati wa uchaguzi, halafu baada ya hapo anatorosha wanyama 104... akiwemo TIGWA, anaitwa hivyo kwa vile katoroshwa lakini kama angebaki TZ angeitwa TWIGA
Mh!mheshimiwa waziri tena?
Unasaemaje kuhusu hii Picha? Ipe maneno Picha yangu hii.......
![]()
Teh teh teh!sawa mkuu!Yeah ni mheshimiwa waziri mteule ila si malaya (mbunge). Nataka nimpe uwaziri wa afya kunako 2015 baada ya kushinda uchaguzi. Vipi kuna shida? Kama una ushahidi wa maovu na wasifu wake zaidi basi usisite kuja ofisini kwangu hapa Dar. Usiogope hutotajwa jina lako na shillingi milioni moja utapata kwa kutusaidia.
Unasaemaje kuhusu hii Picha? Ipe maneno Picha yangu hii.......
![]()