well,then?...........samahani lakini
Then nilichukua gazeti langu sikumjibu maana sikutaka kupoteza stimu ya kesto zangu na yeye akaondoka zake...... bila samahani.
well done!
well done..! yeah i deserve it.... mwingine angeomba namba...

ooh....just like that....? intéressant ....
then nilichukua gazeti langu sikumjibu maana sikutaka kupoteza stimu ya kesto zangu na yeye akaondoka zake...... Bila samahani.
ish!jamani kwani huwa mnaombaga namba kirahisi hivi?mwe !mwe!
Then nilichukua gazeti langu sikumjibu maana sikutaka kupoteza stimu ya kesto zangu na yeye akaondoka zake...... bila samahani.
na ukiwa kama mwanaume halisi unadhani ulimtendea haki bint mrembo aliyekufuata akiwa na swimming bikini yake na kukuomba umsamehe "basha wake wa ki-zamani"..???
Je hauoni kama ulitakiwa uchukuwe mawasiliano yake ili uweze kumjulia khali ya mahusiano yake mabovu na basha mwenye mambo ya kizamani?
Je hudhani kama wewe ndiye mwokozi pekee wa bint mrembo aliyenasa kwenye penzi la basha mpuuzi asiyestahili kuwa naye .... Au ulitaka yeye bint akuombe namba?
Je huna hisia kuwa umekuwa mzee/ aka domo zege such that bint anakuambia simama mpaka asome heading zote...huoni kama ulikuwa unakaribishwa uzidi kufahamiana naye vizuri?
Je huoni kama kitendo cha kumuacha mama na watoto wanaogelea na wewe kwenda kukaa kaunta kulikutia katika vishawishi na ni muda muafaka wa kuwa unaogelea na mama au usiende kabisa hukoo usijeingia majaribuni?
Jibu maswali haya ya awali then jiandae kwa multipo choisi kweshensi.
hivi nilimuuliza vibaya enh.ah haikuwa nia yangu bana!ila sikuelewa kusema ukweli alitaka kusema nini!hii imeniacha hoi ha ha ha, ingekuwa ni mie nimeulizwa hivo ningejiskia vby we nouma
hii imeniacha hoi ha ha ha, ingekuwa ni mie nimeulizwa hivo ningejiskia vby we nouma
Bahati haiji mara mbili