Naelekea ofisi za ccm bro kupeleka harambee yangu..... Nikitoka napitia hapo ulipoMkianzisha uzi wa "lini tunanunua viwanja" mnistue.
Kwasasa nipo na min -me tunaanza weekend hapa element, Evelyn Salt uko wapi?? Au na wewe upo huko kuhamisha michanga na kuchanganya tope kama mtoto??
Fundi , tulikubaliana mchoro au picha za mjengo wangu zisivuje Sasa hiki ni nini?
HahahaMkianzisha uzi wa "lini tunanunua viwanja" mnistue.
Kwasasa nipo na min -me tunaanza weekend hapa element, Evelyn Salt uko wapi?? Au na wewe upo huko kuhamisha michanga na kuchanganya tope kama mtoto??
hata ubungo palikuaga porini mkuuuMbona ni kama porini?