Uzoefu wa kazi sio lazima iwe umeupata baada ya chuo, wanamaanisha kwamba utamuhakikishiaje muajiri wako kwamba hafanyi makosa kukuajiri, pia uzoefu wa kazi hata field na part-time zinahusika sana hapo.Poa mkuu,ila samu taim huwa wanhitaj sehem ulio wah kufany kaz,lakn jua kua kuna makampun mengin hayatoi vyet pale unapo acha kaz,je hapo huwa inakuwaje