Kuna mmoja aliniambia ili nikusamehe inabidi na mimi nitoke na mwanaume mwingine angalau mara moja. Nikamwambia kwa heri naye kwa jeuri akasema sawa tu. Miaka miwili baadaye akaniona na pete ya ndoa, anasema hata siamini kama kweli uliamua kunisusa.

Ulijisikiaje alipotamka ili yaishe nami nitoke nje ya ndoa angalau mara moja.