Unapopata nafasi ya kukopa kopa

Unapopata nafasi ya kukopa kopa

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,598
Reaction score
65,049
Cha muhimu ujue unaenda kuwekeza wapi. Makampuni, viwanda vyote duniani vinakopa ili kuongeza mitaji kwenye uzalishaji wao, na wengine wanatangaza hisa ili pia waongeze mitaji katika uzalishaji. Sasa wewe mtu binafsi unanafasi ya kukopa, badala ya kuitumia hiyo nafasi we unaichezea. Ila kopa ukiwa na malengo:-
  • Kuendeleza na kukuza biashara
  • Kuimarisha ofisi
  • kununua mashine au mitambo
  • Kuchukua malighafi n.k
Pia boresha idara ya mauzo, ikiwezekana tumia nguvu nyingi hapa ili mzigo uweze kutoka kwa haraka na uweze kurudisha mkopo.Ukiogopa mkopo jiandae kutokumiliki taasisi, kampuni, viwanda n.k Mkopo ni kila kitu.
 
Umesema vizuri, hiyo nafasi ya kukopa inaandaliwa/tafutwa haiji au kutokea ghafla

Wakopaji wanajua
 
Cha muhimu ujue unaenda kuwekeza wapi. Makampuni, viwanda vyote duniani vinakopa ili kuongeza mitaji kwenye uzalishaji wao, na wengine wanatangaza hisa ili pia waongeze mitaji katika uzalishaji. Sasa wewe mtu binafsi unanafasi ya kukopa, badala ya kuitumia hiyo nafasi we unaichezea. Ila kopa ukiwa na malengo:-
  • Kuendeleza na kukuza biashara
  • Kuimarisha ofisi
  • kununua mashine au mitambo
  • Kuchukua malighafi n.k
Pia boresha idara ya mauzo, ikiwezekana tumia nguvu nyingi hapa ili mzigo uweze kutoka kwa haraka na uweze kurudisha mkopo.Ukiogopa mkopo jiandae kutokumiliki taasisi, kampuni, viwanda n.k Mkopo ni kila kitu.
"KOPA KWA GHARAMA UTAKAZOMUDU KULIPA" MKOPO NI FURSA AU RISK"

Kuna mikopo riba yake ni 5X ya faida utakayotengeneza, kumbuka bank nazo ni biashara kama yako na wate mnapigania cake moja toka kwa mteja mmoja.

KIUHALISIA NI BIASHARA CHACHE SANA NAWEZA KUHISI LESS THAN 15% ya biashara zote zinazoweza kutengeneza faida ya kutosha kujiendesha na kulipa riba ya mikopo tokana na RIBA za bank nyingi ziko juu sana.
 
Kweli riba ni kubwa,leo utakopa 15m baada ya miaka 5,6 urejeshe 26m; muhimu ni kujua wapi pa kuwekeza ili kuweza kurejesha mkopo, ndio maana makampuni au taasisi zinaboresha idara ya masoko ili pesa iweze kupatikana kwa hara kwa ajili ya marejesho.
 
Chukua na ufanyie kazi ya uzalishaji
Asante kwa ushauri mkuu.

mwingine alinipa laki 1 juzi. nina mpango wa kukopa mpaka ifike milioni 2 niingize kwenye biashara
Screenshot_20211022-111934.png
 
Back
Top Bottom