Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,614
- 140,088
onyesha uhusiano wao mpaka udai wasafishwe wote kwa pamoja sio kuropoka tuUnapotoa povu kumsafisha Lowasa waziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond,usisahau pia kuwa Mh.Lowasa kazungukwa na Rostam,Karamagi na Chenge.CVs za hawa watu zinajulikana!Kwa hiyo ndugu msafishaji kumsafisha Lowasa tu haitoshi,una jukumu zito kuendelea kusafisha pia watajwa hapo juu.Tujikumbushe kidogo kauli ya baba wa taifa kuwa huwezi kuwa msafi na unazungukwa na watu wa ajabu ajabu
ibia hapaonyesha uhusiano wao mpaka udai wasafishwe wote kwa pamoja sio kuropoka tu
Rostam Aziz ndiye Meneja wa Kampeni wa Lowassa, na Karamagi ni mpambe wake mwandamizi. Jana alipokuwa anazungumza na wahariri, Lowassa alikuwa na Karamagi, na alimwita Karamagi kuwa ni "role model", yaani mfano wa kuigwa! TUTAFAKARI!!!!!!!!
Na kuthibitisha jana alisema anataka awe na watanzania wa aina ya Karamagi (wengine waliwekwa kama kimkakati tu) 20,000 tusiombe nje! Utajiri wa wizi na ulaghai utapeleka taifa letu kuzimu.Unapotoa povu kumsafisha Lowasa waziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond,usisahau pia kuwa Mh.Lowasa kazungukwa na Rostam,Karamagi na Chenge.CVs za hawa watu zinajulikana!Kwa hiyo ndugu msafishaji kumsafisha Lowasa tu haitoshi,una jukumu zito kuendelea kusafisha pia watajwa hapo juu.Tujikumbushe kidogo kauli ya baba wa taifa kuwa huwezi kuwa msafi na unazungukwa na watu wa ajabu ajabu
Na kuthibitisha jana alisema anataka awe na watanzania wa aina ya Karamagi (wengine waliwekwa kama kimkakati tu) 20,000 tusiombe nje! Utajiri wa wizi na ulaghai utapeleka taifa letu kuzimu.
huna hoja,piga kimyaacha taifa letu liende kuzimu mbona wewe umekimbia kwenu??
We Kinembe vipi?onyesha uhusiano wao mpaka udai wasafishwe wote kwa pamoja sio kuropoka tu
Mtahama nyie wachumia tumbo bila kujali hatima ya nchi nyamb. fuNyimbo ya ufisadi imechuja tafuteni singo nyingine. Matumaini mapya na Jemedari EL kama hutaki hama nchi.
Nyimbo ya ufisadi imechuja tafuteni singo nyingine. Matumaini mapya na Jemedari EL kama hutaki hama nchi.