Unapomiliki silaha, lengo ni kumtishia ama kumuua 'unayemhisi' ni hatari kwako?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Kumiliki silaha kuna madhara yake makubwa sana kwa mmiliki. Wengi hujiua ama kuua bila kukusudia!

Kwanini unamiliki silaha mfano bastola/ pistol?

Lengo ni kumtishia mharifu au lengo ni kuua mharifu ?

Ikitokea unamiliki silaha kihalali na umemuua 'unayemhisi' ni mbaya wako je, hakuna kesi hapo au ni shida ?
 
Kumiliki silaha kuna madhara yake makubwa sana kwa mmiliki. Wengi hujiua ama kuua bila kukusudia !

Kwanini unamiliki silaha mfano bastola /pistol ?

Lengo ni kumtishia mharifu au lengo ni kuua mharifu ?

Ikitokea una miliki silaha kihalali na umemuua 'unayemhisi' ni mbaya wako , hakuna kesi hapo au ni shida ?
Kumiliki silaha kihalali hakukuondolei kosa la mauaji. Inakupunguzia idadi tu ya mashtaka. Ukiwa unamiliki isivyo halali, ukiua unakuwa na mawili kati ya mengineyo
1. Kuua
2. Kumiliki silaha isivyo halali
 
Kuna kumiliki Silaha kihalali au pasipo na kibali.

Kumiliki silaha kihalali ni kwa ajili ya kujihami au kujiongezea usalama kama unaona kuna ulazima wa kufanya hivyo.

Silaha hiyo itumike kwa ajili ya kujihami wakati wa kushambuliwa. Siyo kutumia kwa ajili ya kumalizana na mtu mliyejibizana au kukosana kimaneno au aliyekuibia mke. Hapana.

Kama umevamiwa, unatakiwa upige risasi hewani ili kuwatisha wavamizi wako na kutoa allert kwa majirani kuwa kuna tukio lisilo la kawaida linaendelea hapo kwa msaada zaidi.

Kama mvamizi atakaidi na kuendelea na nia yake, unaruhusiwa kumpiga risasi kwa nia ya kumjeruhi. Mlenge maeneo ambayo yatampunguzia nguvu. Miguuni, mkononi, piga tu.

Lakini ukimuua mtu kwa visasi vyenu au kwa mambo yasiyo ya uvamizi hata kama silaha unamiliki kihalali basi utashtakiwa kwa mauaji. Na utahukumiwa kifungo cha maisha jela au kunyingwa hadi kufa endapo utatiwa hatiani.

Kama utaua kwa silaha isiyo halali, hata kama ni jambazi utashtakiwa kwa kosa la kumiliki silaha bila kibali na waweza kufungwa hata miaka 15 jela.

Tumia silaha yako ipasavyo.
Kumiliki silaha kuna madhara yake makubwa sana kwa mmiliki. Wengi hujiua ama kuua bila kukusudia!

Kwanini unamiliki silaha mfano bastola/ pistol?

Lengo ni kumtishia mharifu au lengo ni kuua mharifu ?

Ikitokea unamiliki silaha kihalali na umemuua 'unayemhisi' ni mbaya wako je, hakuna kesi hapo au ni shida ?
 
Da,mkuu kabisa kwa mfano mimi jinsi nilivyo hata kama fedha zinamwagika ndani,kwakweli kimiliki chombo hicho sitotaka kabisa,maaana nahisi hata miezi sita sichukui nitakuwa jela
Ukiwa nayo ni sawa na Umeegemea mlango wa Segerea
 
Kuna mwamba mmoja ana manzi lina matako 70, ukimuangalia manzi wake msela anakuoneshea shaba 😂😂😂, yule jamaa ni fala aisee
 
Kama umevamiwa, unatakiwa upige risasi hewani ili kuwatisha wavamizi wako na kutoa allert kwa majirani kuwa kuna tukio lisilo la kawaida linaendelea hapo kwa msaada zaidi.

Majirani wanakuwa wanajua kuwa unamiliki silaha..? Kama hawajui, unadhani watakupa msaada gani kama sio kujifungia vema milango yao..!!
 
Kuna kumiliki Silaha kihalali au pasipo na kibali.

Kumiliki silaha kihalali ni kwa ajili ya kujihami au kujiongezea usalama kama unaona kuna ulazima wa kufanya hivyo.

Silaha hiyo itumike kwa ajili ya kujihami wakati wa kushambuliwa. Siyo kutumia kwa ajili ya kumalizana na mtu mliyejibizana au kukosana kimaneno au aliyekuibia mke. Hapana.

Kama umevamiwa, unatakiwa upige risasi hewani ili kuwatisha wavamizi wako na kutoa allert kwa majirani kuwa kuna tukio lisilo la kawaida linaendelea hapo kwa msaada zaidi.

Kama mvamizi atakaidi na kuendelea na nia yake, unaruhusiwa kumpiga risasi kwa nia ya kumjeruhi. Mlenge maeneo ambayo yatampunguzia nguvu. Miguuni, mkononi, piga tu.

Lakini ukimuua mtu kwa visasi vyenu au kwa mambo yasiyo ya uvamizi hata kama silaha unamiliki kihalali basi utashtakiwa kwa mauaji. Na utahukumiwa kifungo cha maisha jela au kunyingwa hadi kufa endapo utatiwa hatiani.

Kama utaua kwa silaha isiyo halali, hata kama ni jambazi utashtakiwa kwa kosa la kumiliki silaha bila kibali na waweza kufungwa hata miaka 15 jela.

Tumia silaha yako ipasavyo.
YOU MUST BE A COP
 
Kumiliki silaha kuna madhara yake makubwa sana kwa mmiliki. Wengi hujiua ama kuua bila kukusudia!

Kwanini unamiliki silaha mfano bastola/ pistol?

Lengo ni kumtishia mharifu au lengo ni kuua mharifu ?

Ikitokea unamiliki silaha kihalali na umemuua 'unayemhisi' ni mbaya wako je, hakuna kesi hapo au ni shida ?
kuna wengine tumelisi magobole ya mababu zetu 😎
 
Back
Top Bottom