Hujawahi kuumizwa na mapenzi wewe.Unapohisi kum miss mtu aliye mbali nawe, ukumbuke mwezi.
Licha ya kuwa umbali wa maelfu ya maili, Lakini uko karibu zaidi kuliko vile unavyofikiria, maana unautazama mwezi huo mmoja Kula usiku.
Unapohisi kupotea na kutokuwa na uhakika na kuchanganyikiwa, fikiria kuhusu mwezi. Ni mwezi uleule uliokuwa ukiutazama kwa macho ya matumaini ulipokuwa mtoto mdogo. Haujawahi kubadilika.
Unapopata hofu na siku zijazo na wakati unakimbia, fikiria kuhusu mwezi. Ukiwa na umri wa miaka 80, utautazama mwezi uleule utakaouona usiku wa leo, kwa macho ya machozi, na kujivunia utasonga mbele na kushukuru sana kwa maisha ambayo umeishi.๐ช๐ฟ๐๐ฟ
Na unapofikiri huna chochote kilichobaki, bado kumbuka una mwezi wa kuutazama usiku wa leo.. Utakaokumulikia na kukuongoza kwenye kiza tororo cha kukata tamaa, wasiwsi na mapito ya maishaView attachment 3203764
uzi mzuri Sana, wa kuongeza matumaini pale ambapo tunahisi kupungukiwa mahali na kuihataji matumainiUnapohisi kum miss mtu aliye mbali nawe, ukumbuke mwezi.
Licha ya kuwa umbali wa maelfu ya maili, Lakini uko karibu zaidi kuliko vile unavyofikiria, maana unautazama mwezi huo mmoja Kula usiku.
Unapohisi kupotea na kutokuwa na uhakika na kuchanganyikiwa, fikiria kuhusu mwezi. Ni mwezi uleule uliokuwa ukiutazama kwa macho ya matumaini ulipokuwa mtoto mdogo. Haujawahi kubadilika.
Unapopata hofu na siku zijazo na wakati unakimbia, fikiria kuhusu mwezi. Ukiwa na umri wa miaka 80, utautazama mwezi uleule utakaouona usiku wa leo, kwa macho ya machozi, na kujivunia utasonga mbele na kushukuru sana kwa maisha ambayo umeishi.๐ช๐ฟ๐๐ฟ
Na unapofikiri huna chochote kilichobaki, bado kumbuka una mwezi wa kuutazama usiku wa leo.. Utakaokumulikia na kukuongoza kwenye kiza tororo cha kukata tamaa, wasiwsi na mapito ya maishaView attachment 3203764
Kabisaaaaaaa ๐ค๐ค๐คMwezi haujawahi kumtenda mtu๐๐ฟ๐๐ช๐ฟ๐๐ฟ
Mkuu mshana nakusalimu sana, kuna jambo moja la kiroho nilihitaji kukushirikisha ila nimekuta umefunga PM, nilishawahi kuliandika humu ila sikupata majibu sahihi ya namna ya kulitatua, unaweza kunisadia nikaku PM na kukushirkisha, natanguliza shukran