donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
aisee hiyo trouser kaivalia kwenye kifua lakini inaburuza chini. je angeivalia kiunoni..
Acha tuuHa ha ha ha....
basi na yeye anajiona mjanjaaa..
Unamfaham mkuuHuyu jamaa ni mpiga gitaa mzuri sana
Kweli ametisha mkuuMaskani yake ni kasulu mjini ni mpole, mcheshi na mwenye haiba mingi anapiga gitaa akiwa amelala chini kwa kutumia vidole vya miguu mungu kampa kipaji
Yaaan ni tatizo mkuuSasa ndiyo abong'oe hivi kweli?
Aisee ametishaNamfahamu, ni mwana jf.