Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,732
ha ha ha haMimi napenda Voks Wagen Injini Nyuma
Kwa nini mkuuThread fupi fupi za kukeraa..zimekua nyingi siku izi
Kwana JF yako??Thread fupi fupi za kukeraa..zimekua nyingi siku izi
ha ha ha haKwana JF yako??
Yan mkeo, mama watoto wako au mzazi mwenzio unamfananisha na gari kweli tunafika kweli...dunia simama nishukeMwanamke ni sawa sawa na gari,kuna ist,ford ranger,explorer,landcruiser n.k pia wapo wenye cc 1000, 2500 n.k Mi napenda ford explorer,landcruiser n.k yaani wale waliojazia wanaoanzia cc 4600.Je wewe unapenda wa namna gani?
Mbavu zinaniuma mkuu...Yan mkeo, mama watoto wako au mzazi mwenzio unamfananisha na gari kweli tunafika kweli...dunia simama nishuke
ha ha ha mkuu hutaki ist?Napenda tako la nyani cc 3000
IST imepigwa pasi nyuma ya Nini Mimi.ha ha ha mkuu hutaki ist?
ha ha ha haIST imepigwa pasi nyuma ya Nini Mimi.
Ngoja nitafute ya fuso nikuwekeeBila picha ...huu Uzi vp
Duuh, Mdada Wa aina hii ndyo anakuaje mkuu[emoji3]Mimi napenda Voks Wagen Injini Nyuma
Me nasubir picha nione Ni waina gani ya gari
umesahau ushuz wako ulokuwa ukiuandika hapo nyuma?Thread fupi fupi za kukeraa..zimekua nyingi siku izi