Unapenda ukaishi wapi katika haya na mpenz wako?

Thinkyyy

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
548
Reaction score
71
1.kisiwani

2.ufukweni

3.milimani

4.kijijini

5.sehemu ya baridi kali

6.jangwani

mi napenda kijiji au kisiwani
 
1.kisiwani

2.ufukweni

3.milimani

4.kijijini

5.sehemu ya baridi kali

6.jangwani

mi napenda kijiji au kisiwani

Ningekuwa na pesa ningenunua ndege ili twende tuishi karibu na mwezi kwa sababu watu wasituudhi rose ehee rose -soukous starr
 
Hahaha. I wish i was a kid again.

nakudediketia wimbo wa gatho.
Ningekuwa na pesa,
ningeunda ndege.
twende tuishi juu,
karibu na mwezi.
kwa sababu watu wasituudhi,
kipenda roho hula nyama mbichi
 
Ooops, yaani coincidentally na wewe umewaza huu wimbo. Ila ni wa gatho bwana, holds a lot of memories (zisizo za mapenzi lakini, lol)
Ningekuwa na pesa ningenunua ndege ili twende tuishi karibu na mwezi kwa sababu watu wasituudhi rose ehee rose -soukous starr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…