blue na purple..rangi yangu.ni.chocolate so.napenda bright colours ili nishine..kwa wiki ntavaa blue angalao mara 2 kam sio nguo basi viatu ama mkoba ;whatever i like the colour!
Paka wazuri sana tatizo huyo mwenye kijani nadhani itakuwa kama ile ya "Mbega aliponzwa na uzuri Wake"
Paka wa kijana kinachomponza ni hiyo rangi ya kijani
Kule bungeni rangi ya kijani tunawaita maoni ya walio wengi