Babu dithii (samahani nina ki-the) rangi uipendayo ni nzuri na nilipata kusoma jarida moja lilieleza rangi hiyo ilivyo na uwezo wa kuleta harmony ktk brain na ndo maana watu huenda baharini (beach) kupunga upepo lakini lakini kinachotokea ni rangi ya bluu ya maji wayatazamapo hufanya akili zao kutulia na ku na amani zaidi. Binafsi napenda rangi ya mkorogo,mkorogo wa wastani lakini.