Dah kwani na wali wanakula kwa vijiti? huwa naona kama spaghetti ndio wanakula kwa vijiti wali dah sijuiHahahahaa wale wanakula Nyoka asee...angalia usije ukazoea kula nyoka maana hawa wa huku kwetu wana sumu balaa[/QU teh teh teh! Mi nataka njifunze kula wali na supu kwa vijiti!
teh teh teh! Kijana hata mtoto mdogo 2naweza 2kamuita mzee wa nyonyo coz amebobea kwenye hyo secta! So we n mzee wa nyama!lol bt ngoja nkuite upendavyo Kijana!
ugali wa kisukuma na sangara........[/QU karbu cku ya skukuu kwetu c 2napkaga!
Dah kwani na wali wanakula kwa vijiti? huwa naona kama spaghetti ndio wanakula kwa vijiti wali dah sijui[/QU heeeeh hadi wali wanakula kwa vjt tenah wanataman mchuz waule kwa vjt sema wanashndwa!
Basi kama unataka kuniita mimi mzee basi mimi ntakuita bibi...Au unasemaje mrembo?[/QU hebu tu overlook huo uzee 2sije 2kajzeesha bure!
Jifunze then utakuja kunifundisha na mimi piaDah kwani na wali wanakula kwa vijiti? huwa naona kama spaghetti ndio wanakula kwa vijiti wali dah sijui[/QU heeeeh hadi wali wanakula kwa vjt tenah wanataman mchuz waule kwa vjt sema wanashndwa!
macaroni cheese, & I love potato salad yaaaaam π
Mh we jamaa hataree.
Wala usijali, ukija huku ntakupeleka kuna sehemu kuna mchemsho wa kuku wa karanga na ugali.........kama ni huko utachagua mwenyeweM'Jr me nataka unipeleke dinner wanapopika ugali na kuku wa kienyeji, princess enny ntakukaribisha siku hiyo!
La ricetta italiana!macaroni cheese, & I love potato salad yaaaaam π
La ricetta italiana!
dahhhh kwanini tu mkuu??
Dah sasa mama we hata vyakula vya Lushoto kwetu hata hupendi kimoja sa mi si ntashindwa kukutoa out!yaaaammm what about corn beef + white sauce i love it π
Dah sasa mama we hata vyakula vya Lushoto kwetu hata hupendi kimoja sa mi si ntashindwa kukutoa out!
Unataja vitu vitam vitam tuu