Unapata wapi ujasiri wakumwita mwenzako "MALAYA"?

Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
6,440
2,000
Wahanga walionya kua usichopenda kufanyiwa na mwenzio basiujue na mwenzio hapendi umfanyie kitu hicho.

Japokua binaadamu ni kiumbe mpenda sifa lakini hakuna anaependa kupewa sifa ya umalaya.

Sijajua tunatumia vigezo gani kupeana sifa hii, kama ni kweli kama tunavyo kalilishwa kua "malaya" niyule anaetoka/ aliyewahi toka na mpenzi zaidi ya mmoja, je nani anaeweza kukikwepa kikombe hichi? Hivi yupo mmoja wetu katiyetu sisi huku MMU, JF na jamii kiujumla asie wahi badili mpenzi zaidi ya mmoja?

(Yaani tangu aijue starehe hile hajawahi badili ladha nyingine zaidi ya hiyo aliyo nayo kwa sasa) kama yupo mtu huyo huyo anyoshe kidole juu.

Sasa kwanini tunadhubutu kunyoosheana kidole na kuitana "malaya"? Unaupata wapi ujasiri wakumuita mwenzeko"MALAYA"Mwisho.JIFANYEKAMA HAUONI, ILI UISHI VIZURI NA WAPINZANI.
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,024
2,000
Well said Mkuu.

Mwanadamu anavutiwa zaidi na kutazama yale yasiyofaa kwa mwenzake... Umfanyie 99 mazuri afu ukosee moja kuna uwezekano mkubwa sana akawa anakukumbuka kwa lile baya moja Tu.

Mwanadamu anavutiwa zaidi kumhukumu mwenzake kuliko kujitazama yeye kwanza (waswahili washasema ndugu nyani haoni kaliole ..Sio Nyani Ngabu lakini

Nakumbuka maandishi kwenye kitabu fulani.. watu wawili walienda hekaluni kusali.. Mmoja Mfarisayo na mwingine Mtoza ushuru. Yule mfarisayo akaanza kusali ''Nakushukuru Mungu kwa kuwa Mimi sio kama Mtoza ushuru... then akaaendelea kutoa sifa zake anazodhani zinampa stahili yeye, pointi hapa alianza kumponda na kujistahilisha yeye kwanza.

Ni wangapi tunaowanyanyasa n kuwahukumu wafanyakazi wetu wa ndani, wafagiaji ofisini? wahudumu mahotelini na Bar etc? wale walio chini yetu kisa tu tunawaona hawastahili... Vipi wale walio kinyume na sisi?

Asante sana kaka Kitoabu kwa kutukumbusha kuwa sisi hatustahili kuliko wengine.. tena pengine hao tunaowahukumu wana haki na stahili kuliko sisi. Kikubwa tujifunze kujitathimini na kujisahihisha kuliko kuwanyooshea wengine vidole.
 
Last edited by a moderator:

thinky

JF-Expert Member
Jan 13, 2014
2,121
0
Let humans do whatever they want but the laws will restrict them ,or find a better way to change the globe pengine hata wachangiaji ni wapenzi wa hilo neno
 
Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
6,440
2,000
Well said Mkuu.

Mwanadamu anavutiwa zaidi na kutazama yale yasiyofaa kwa mwenzake... Umfanyie 99 mazuri afu ukosee moja kuna uwezekano mkubwa sana akawa anakukumbuka kwa lile baya moja Tu.

Mwanadamu anavutiwa zaidi kumhukumu mwenzake kuliko kujitazama yeye kwanza (waswahili washasema ndugu nyani haoni kaliole ..Sio Nyani Ngabu lakini

Nakumbuka maandishi kwenye kitabu fulani.. watu wawili walienda hekaluni kusali.. Mmoja Mfarisayo na mwingine Mtoza ushuru. Yule mfarisayo akaanza kusali ''Nakushukuru Mungu kwa kuwa Mimi sio kama Mtoza ushuru... then akaaendelea kutoa sifa zake anazodhani zinampa stahili yeye, pointi hapa alianza kumponda na kujistahilisha yeye kwanza.

Ni wangapi tunaowanyanyasa n kuwahukumu wafanyakazi wetu wa ndani, wafagiaji ofisini? wahudumu mahotelini na Bar etc? wale walio chini yetu kisa tu tunawaona hawastahili... Vipi wale walio kinyume na sisi?

Asante sana kaka Kitoabu kwa kutukumbusha kuwa sisi hatustahili kuliko wengine.. tena pengine hao tunaowahukumu wana haki na stahili kuliko sisi. Kikubwa tujifunze kujitathimini na kujisahihisha kuliko kuwanyooshea wengine vidole.
Ahsante Mkuu.
 
Last edited by a moderator:

Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
6,440
2,000
tunatofautiana magredi kwenye umalaya hahahaha
Lakini wote tunabaki palepale kua "Malaya". Sasa inakuaje umnyooshee mwenzio kidole wakati nawewe ni "Malaya"? Au haujui kua Kibaka, kidokozi, tapeli, jambazi, fisadi wote ni wezi?
 
Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,630
2,000
Kwan mtu akiwa mwizi hutakiwi kumuita mwizi?..kama mtu malaya unamwita malaya tu hamna kuoneana haya.
 
mrsleo

JF-Expert Member
Jan 13, 2014
2,472
2,000
sasa hata kama nilishawahi kuwa na mpenzi zaid ya mmoja nikimuona mwenzangu nae anafanya hivyo nimuiteje?
 
Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,839
2,000
malaya ni malaya tu,dont sugar coat lol
ukichepuka wewe ni malaya regardless,:suspicious:
 
Eli79

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
27,187
2,000
Either way, umuite au la...kama unabadilisha/umebadilisha wapenzi, hamna jina lingine la kuitwa, Kama umeoa/umeolewa lakini kiguu Na njia kuvua pichu ovyo, hamna jina lingine..ni malaya/mhuni tu..
 
First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,319
2,000
Wahanga walionya kua usichopenda kufanyiwa na mwenzio basiujue na mwenzio hapendi umfanyie kitu hicho.

Japokua binaadamu ni kiumbe mpenda sifa lakini hakuna anaependa kupewa sifa ya umalaya.

Sijajua tunatumia vigezo gani kupeana sifa hii, kama ni kweli kama tunavyo kalilishwa kua "malaya" niyule anaetoka/ aliyewahi toka na mpenzi zaidi ya mmoja, je nani anaeweza kukikwepa kikombe hichi? Hivi yupo mmoja wetu katiyetu sisi huku MMU, JF na jamii kiujumla asie wahi badili mpenzi zaidi ya mmoja?

(Yaani tangu aijue starehe hile hajawahi badili ladha nyingine zaidi ya hiyo aliyo nayo kwa sasa) kama yupo mtu huyo huyo anyoshe kidole juu.

Sasa kwanini tunadhubutu kunyoosheana kidole na kuitana "malaya"? Unaupata wapi ujasiri wakumuita mwenzeko"MALAYA"Mwisho.JIFANYEKAMA HAUONI, ILI UISHI VIZURI NA WAPINZANI.
mara nyingi wanaoita wenzao hvyo ndo wale malaya maarufu, asiejua hayo mambo ni wachache mno wenye ujasiri huo wa kutukana matusi makubwa hvyo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom