Unapata ujumbe gani hapa ?

Unapata ujumbe gani hapa ?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,090
1405380615603.jpg
 
Wote ni wanaume. Halafu mmoja ni mjamzito na Ana manyonyo.

Au sijaelewa vizuri.
 
Hapana allydou ujumbe uko kwenye maneno na picha hebu tafakari kwa makini kilichoandikwa
 
This (mtoto tumboni)angeweza kuwa sisi, ILA Nina furaha sio, (labda Leo hii Mimi ndiye ningebeba mimba hii, au Leo hii ndiye ningebeba jukumu la Baba)
 
You did it Nkanaga! Lakini kuna zaidi
 
Nilivyoelewa mimi maneno hayo yanawazwa na huyo mwanamke kwamba huo ujauzito ni matokeo ya kukutana kwao lakini labda huyo baba kabambikiwa sio mzigo wake!
 
Mkuu kuja upya, kwamba huo ujauzito Ni matokeo ya kukutana kwao....lakini labda huyo Baba kabambikiwa?
 
Yaani baba anajua huyu ni mke wangu, lakini ujauzito sio lazma uwe wake, mama ndo anajua nani ni baba halali wa mwanangu!
 
Back
Top Bottom