Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,310
- 10,994
Oppo ndo zilivyo yaani kufungiwa wasap kawaida sanaa binafs situmii wasap mm saivi mpaka nibadilisheee simuWhatsApp sijui wana shida gani na mimi?
Mwanzo nilikuwa natumia Iphone, shemeji/wifi yenu akaninyang'anya akanipa simu yake aliyokuwa anatumia, simu yake aliyonipa nitumie ni aina ya Oppo, nilivyoinstall WhatsApp kwenye hii simu nilitumia kama wiki moja hivi, baada ya hapo wakaanza kufungia namba yangu wakinituhumu na masuala ya spam, nikiwatumia malalamiko wanafungua namba yangu ila baada ya dakika kadhaa wananifungia tena, ujumbe unaokuja baada ya kunifungia ni uleule, yaani spam issues, mwisho wa siku wakaifungia namba yangu moja kwa moja.
Sasa jambo la ajabu ni kuwa nilijaribu kujisajili WhatsApp kwa kutumia namba mpya, baada ya dakika moja walinifungia tena. Mpaka sasa nashindwa kuelewa shida ni nini? Ni simu ninayotumia kwasasa au vipi?
Kwahiyo atasovuje tatizoShida ni hiyo Aina ya simu unayotumia wala sio whatsapp
Umeongea mambo mengi sana, tena kwa hasira!Kwanza umejidhalilisha ,dume zima unanyang'anywa simu na mkeo unakuja kuanika humu au ulitaka kujimwambafai kuwahi kumiliki iphone? Anyway oppo na whatsup zina uadui mkubwa. Kama uliweza kumiliki iphone utaweza miliki Samsung pia kanunue
Shukurani mkongwe, nilikuwa silijui hili.Oppo simu ya Mchina, hilo tatizo wanalipata watumiaji wengi wa Oppo. Japo sijajua tatizo ni nini ila WhatsApp imefungiwa China, hivyo inaweza kuwa sababu.
Jaribu ku-update kwenda latest version.
Umeongea mambo mengi sana, tena kwa hasira!
Una msongo wa mawazo?
Una maisha magumu sana?
Unapigwa sana na mumeo/bahasha ako?
Asante kwa ushauri wako!
Hapo iyo simu itupe haraka sana itakufia ilo tatizo haliwezi ponaWhatsApp sijui wana shida gani na mimi?
Mwanzo nilikuwa natumia Iphone, shemeji/wifi yenu akaninyang'anya akanipa simu yake aliyokuwa anatumia, simu yake aliyonipa nitumie ni aina ya Oppo, nilivyoinstall WhatsApp kwenye hii simu nilitumia kama wiki moja hivi, baada ya hapo wakaanza kufungia namba yangu wakinituhumu na masuala ya spam, nikiwatumia malalamiko wanafungua namba yangu ila baada ya dakika kadhaa wananifungia tena, ujumbe unaokuja baada ya kunifungia ni uleule, yaani spam issues, mwisho wa siku wakaifungia namba yangu moja kwa moja.
Sasa jambo la ajabu ni kuwa nilijaribu kujisajili WhatsApp kwa kutumia namba mpya, baada ya dakika moja walinifungia tena. Mpaka sasa nashindwa kuelewa shida ni nini? Ni simu ninayotumia kwasasa au vipi?
Mkuu elezea vizuri kwanza apoSimu za Oppo nyingi zilizopo Tanzania ni hacked na zikipata Internet tu zinafanya yake, TCRA wapo hata hawalifanyii kazi
China gani wamefungia whatsapp?Oppo simu ya Mchina, hilo tatizo wanalipata watumiaji wengi wa Oppo. Japo sijajua tatizo ni nini ila WhatsApp imefungiwa China, hivyo inaweza kuwa sababu.
Jaribu ku-update kwenda latest version.
China gani wamefungia whatsapp?
Mkuu kwa laki mbili na nusu naweza kupata xiaomi toleo gani zuri??Bila shaka anamaanisha ni simu ambazo zilitengenezwa kutumika China na baadaye zikaletwa used kutumika nje ya soko la China.
Mfano, Mimi nina Oppo used from China: inapiga kazi vizuri tu, natumia WhatsApp ila kuna baadhi ya settings na apps zina lugha ya Kichina.
Pia, nina Samsung Galaxy used from Japan, nayo ina apps zenye lugha ya Kijapan.
Haya makampuni ya Asia huwa yanatoa simu matoleo mawili: zinazokuwa soko la Asia na Global. Kwahiyo ukinunua Oppo, Samsung, Xiaomi mpya dulani utakuta ni global version inayoweza kutumika nje ya soko la Asia: mfano, kwenye box Samsung huandikwa "for Africa".
Ila, ukinunua used from Asia utakuta ni zile zilizotumika kwenye soko la Asia. Kwahiyo, kuna ambazo huwa wanazibadilisha ili ziweze kuendelea kutumika kwenye soko la Africa.
Ni kubadilisha tu simu anunue brand nyingine ila sio Oppo tenaKwahiyo atasovuje tatizo
Shosti ako nani!?Shosti punguza kupanic. Oppo isikudhalilishe mitandaoni .