Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
.., nyumbani kwako unatumia kibatari, unatumia taa ya kandili (chemli), hauna gari na hata pikipiki..., bado unasherekea 'annual Motor vehicle Licence fee' kuhamishwa kama tozo kwenye bidhaa za mafuta ya diesel, petrol na mafuta ya taa..., ndugu yangu akili yako inahitaji kugongwa na nyundo ya mawe..., hauko timamu, jitafakari !