engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
ACT..Basi makini lenye kasi na kiwango cha hali ya juu.... ACT ndio basi litakalowafikisha watanzania kwenye nchi ya maziwa na asali
Kazi ipo.EATV inaweza kuwa chombo kizuri cha kuwahabarisha vijana kuchagua viongozi waliobora.Na hata kuwashawishi vijana wenye maono ya UTAIFA kwanza kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea uongozi bila kujali itikadi za vyama vyao,kabila wala dini zao.Wangetakiwa waanze sasa!
jikite kwenye hoja umeambiwa chagua a au b sasa wewe unaleta mambo ya act?
Jikite kwenye hoja umeambiwa chagua A au B sasa wewe unaleta mambo ya ACT?
Chadema for ever.
hata shule hukwenda angalia neno screper.hayo mabasi yote hapo juu ni mabovu..yamebaki skrepa.. hakuna la kupanda.. ACT ndio basi makini sana
hata shule hukwenda angalia neno screper.
Mbona sjaona basi langu la UKAWA au madereva wako M4C?
CUF liko wapi???
CUF liko wapi???
hilo basi la pili litatoka ubungo lini??mpaka bukoba litatumia miezi miwili kama meli