Unapajua Marangu?

Hapo pangekuwa marangu watani zangu wazingekuwa na miguu kama fimbo....

Achana na Marangu weweeee. ....kisiwa cha warembo, japo nikitafakari sana kwy hiyo miguu mhhhh.....kama kweee. .......vile.
 
Hahahaaaa!!

wanawake wa marangu wana miguu kama fimbo? hehee!

housing sasa itakuwaje? Kontena au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…