Kwa kifupi pia. Ninaongea lugha zote saba ila kimchanganuo mzuri ni nne za kimataifa (kireno,kispania,kingereza, na kiswahili) hizi nyingine tatu naweza ziita national dialects sababu hazijavuka sana mipaka. Asante.
Kaka sio google. (Это не гугли), nimekaa moscow miaka saba( я жил в москве семи лет), na nchi za karibu na urusi( и рядом стран)
Ngoja watakuja watu wanaojua hii lugha watakuambia kuwa ni google au ni proper( подожди кто то знает этот язык бутет решать)
Mpaka hapo hujaamini??
Hahhaah.
Afu Inna nakumiss balaa.
Umekataa kuja pm?
Mkuu;
Acheni kuharibu lugha za watu. Huyu anaitwa mahmoud, maana yake huyu atakuwa me utamwulizaje hivyo?? Ati; Takweenya!! Bull shit kabisa. Kwani hiyo imekuwa mwanamke?