Unaonaje; Sera ya elimu bure inazingatia elimu bora..?

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
32,212
75,701
Kutokana na sera iliyopo kwa sasa ya elimu kuwa bure ambapo kama tujuavyo elimu inamchango mkubwa sana ktk maisha yetu,lkn binadamu/watanzania hatuitaji elimu bali tunahitaji elimu bora.

sasa kwa sera hii ya elimu bure unadhani inazingatia elimu bora..? na kama haizingatii kifanyike nini ili kukidhi misingi ya elimu bora..?

Kumbuka elimu inaweza kuwa ya kulipia lkn isiwe bora!!

Mnakaribishwa..
 
Back
Top Bottom