Unaona nini hapa??

Kuna raia watatu wamepiga magoti waliovaa nguo mithili ya mnyama tiger...
 
Naona ufito wa mlozi!
well, wadada watatu waliopiga magoti, pia naona kichwa cha tiger
 
Huyo wa mbele anaonekana mtu wa mtandao
 
wawili wa mbele wamekalia sofa na kuinamisha vichwa vyao na wa tatu amepiga magoti
 
:A S shade:

  • so amazing akili nyingi imetumika kufanya haya maskilz


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…