kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,171
- 15,865
- Thread starter
- #81
Pesa tunawapa Sana tu ,,, plus outing za kutosha ,,, tatzo ni pale unataka tubagain ,,,nikibagain ukinipa nikitoka hapo tusijuane, na usinililie shida, Si uliniuzia ? Nikikuhitaji nitakutafuta ! Ndivyo mnavyotaka ?Ukweli nmekwambia


