Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,970
- 35,342
Ujue mwanamke akikuelewa/akikupenda kweli hawez lia lia shida mapema hivyo kuna kaaibu hivi kanakuwepo . Ukiona hivyo viashiria ujue huyo ni mfanya biashara, mjiongezage.Msituuzie live live Sasa ! nikikuomba, nipe, hela ntakupa ,,, ukiniuzia live hata siku ukikwama Jambo nitataka nikulale kwanza ndo nikusaidie! Tit for tat! Ndiko tulipofikia ?
Sent using Jamii Forums mobile app

