Ushiboy alimtembelea girlfriend wake aliyemwalika msosi wa jioni. Ghafla, jioni ile bado akiwa kwa g,irlfriend
wake mvua ilinyesha kubwa sana na haikupungua kwa muda mrefu. Wazazi wa binti walipoona hali hiyo
ya hewa wakamshauri Ushiboy alale pale kwao.
Baba alienda chumbani, mama alipeleka vyombo jikoni na binti alienda kutayarisha chumba cha
Mgeni (Ushiboy) na kumwacha Ushiboy sebuleni. Baada ya shughuli zao, waliporudi sebuleni hawakumkuta Ushiboy. Walimtafuta kila kona ya nyumba bila mafanikio.
Mara ghafla walimwona Ushiboy amerudi kabeba mfuko mweusi akiwa amelowa chepechepe. Walipomuuliza
kulikoni? Aliwajibu ''nimeenda nyumbani chap chap kuchukua nguo za kulalia"
Ushiboy bhana....:smile-big::smile-big::smile-big: