Unangoja nini rafiki karibu eternal international

Lady niece

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
953
414
UNANGOJA NINI JIUNGE NA ETERNAL INTERNATIONAL KWA MATIBABU YA AFYA YAKO

Unangoja nni kupima afya yako. jiunge nasi uwe mwanachama wa ETERNAL INTERNATIONAL kma utapenda maana hailazimishwi ila ukijiunga Utafaidika na mambo mengi
ikiwemo kufanya biashara na kujikwamua katika lindi la
umaskini na kujiongezea kipato zaidi, USISITE karibu sana
ETERNAL INTERNATIONAL CARE BIOTECHNOLOGY
KWA UPIMAJI WA AFYA YAKO

KWANI

Afya njema haina thamani ya kuinunulia. Usione uvivu au taabu kupima afya yako. Sasa unayo fursa nzuri ya kupima afya yako kwa 10,000/= Tsh. itumie fursa hii usichelewe bado ipo
Kupima afya si lazimia uwe mgonjwa au unaumwa hapana, tunaweza kujiona tuko kamili au fit kabisa na tuko vizuri kumbe afya zetu ni mgogoro vijimaaradhi vinatunyemelea bila hata kujijua wenyewe mana twajiona tuko vizuri kila wakati.

Njia rahisi ya kujua afya zetu na kujiona tuko fresh ni kupima mara kwa mara kitaalamu.

Usiopoteze fursa hii maridhawa kupima afya kama wewe unajijali. Kituo kipya cha afya kinachopima afya ya mwili wako wote (body checkup) kitapima na kukupa marejesho ya afya yak

mambo wanayofanya
a) kupima afya
b) kupewa ripoti ya afya yako na ushauri bure
c) kupata fursa za kibiashara na kuuza bidhaa zao za afya

KWA MAELEZO ZAIDI NA JINSI YA KUFIKA KITUONI KWETU BASI NIPIGIE AU NITEXT KWA NO. 0717 503174 TUPO KINONDONI MOROCO KARIBU NA JENGO LA AIRTEL
 

Attachments

  • ginko tea.jpg
    ginko tea.jpg
    11.3 KB · Views: 18
  • FISH CAPSULE.jpg
    FISH CAPSULE.jpg
    19.1 KB · Views: 15
  • antipetic.jpg
    antipetic.jpg
    8.6 KB · Views: 16
  • melatonin.jpg
    melatonin.jpg
    22.3 KB · Views: 17
Umenikumbusha kampuni gani Sijui jina nimesahau!
Walikua wanawarubuni sana wanachuo wanaopenda mteremko kwa kuwapa wauze hayo madawa yao!
 
Back
Top Bottom