UNAMUACHA kwa mbwembwe:YA NINI UJUTE BADAE?

What is the future?

Unaweza kumwacha mtu hata kama unampenda sana, tena kwa mbwembwe nyingi kulingana na sakamstansezi.

Sasa kama maumivu ya kumkosa(miss) yakiwa makubwa kuliko kosa alilofanya awali usimrudie? Samtaims unamrudia mtu kumkumbusha kuwa nilikuwa nakupenda, kama uko tayari tulisongeshe kama hauko tayari poa, ya nini uishi na duku duku la kwamba labda naye bado ananihitaji? Kwani kurudi na kulia lia kuna gharama gani? Kama ni machozi nikinywa glass moja tu ya maji machozi yanarudi.

Kuna wengine wanarudiana na wanaishi happly after ever (Fairy Tale), mapenzi hayana formula.
Kama vipi soma signature ya Bishanga utaelewa zaidi.

Nimesema unamwacha bila kosa lolote alilokufanyia,pengine ni tamaa
 
Mie kuna best angu alimwagwa kwa mbwembwe na matarumbeta kisa hajapanda vidato, alilia akawa mdogo kama piriton.Baada ya miaka 3 yule mwanamme akamrudia AKALIA HADI DAMU, binti akampokea.

Wameoana, wana watoto 2, na wamesonga mbele kimaisha kama movie(binti hajasoma sana ila elimu ya mtaani ya biashara anayo sana tu, mwanamme white color job, mangereza ya kufa mtu)

Kwa hiyo haya mambo hayana formula kivile.
Exactly,no formula,ila ni vem kuheshimu hisia za akupendae kama unampenda pia,tamaa mwisho wake mbaya.
 
Ujue kwa mapenzi ya kileo kutokuwa na pesa ni kosa? Unam-deny mpenzi wako luxury zinazoletwa na pesa.
Au labda una sura chungu, maumivu ya kutizama sura chungu unadhani ni raha?

Nimesema unamwacha bila kosa lolote alilokufanyia,pengine ni tamaa
 
Not always, kuna watu wana tamaa na kila siku mastering kwenye mapenzi

Just do you.

Exactly,no formula,ila ni vem kuheshimu hisia za akupendae kama unampenda pia,tamaa mwisho wake mbaya.
 
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!chukua tahadhari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
What is the future?

Unaweza kumwacha mtu hata kama unampenda sana, tena kwa mbwembwe nyingi kulingana na sakamstansezi.

Sasa kama maumivu ya kumkosa(miss) yakiwa makubwa kuliko kosa alilofanya awali usimrudie? Samtaims unamrudia mtu kumkumbusha kuwa nilikuwa nakupenda, kama uko tayari tulisongeshe kama hauko tayari poa, ya nini uishi na duku duku la kwamba labda naye bado ananihitaji? Kwani kurudi na kulia lia kuna gharama gani? Kama ni machozi nikinywa glass moja tu ya maji machozi yanarudi.

Kuna wengine wanarudiana na wanaishi happly after ever (Fairy Tale), mapenzi hayana formula.
Kama vipi soma signature ya Bishanga utaelewa zaidi.
This is true sherry wangu wa sasa niliyenaye nilimpiga chini kwa mbwembwe na kumponda sana lakini sasa hivi tuko pa1 kama sangoma na matunguri kweli mapenzi hayana formula
 
Wise men learn from others' faults.
Wengine mjifunze kupitia hawa,stop that.
 
bado nampenda,ila dah kwa alivoniacha kwenye mataa hata akitaka 2rudiane ctakubali,nimeumia na ninaumia sana,naomba Mungu nimsahau milele yule mwanaume,Imagine upo kwenye uhusiano na m2 miaka mitano afu aje akuache bla sababu ya mcng,hlo lnasameheka kwel?! it hurt me alot
 
Poleeee..............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom