UNAMUACHA kwa mbwembwe:YA NINI UJUTE BADAE?

UNAMUACHA kwa mbwembwe:YA NINI UJUTE BADAE?

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,130
"BIG RESULTS NOW"
LETS REASON CORRECTLY
katika mahusiano wapenzi hupendana sana.
Kila mmoja anaheshimu hisia za mwenzake.
CHA AJABU HUTOKEA MMOJA KATI YAO anaamua kumuacha mwenzi wake tena bila kujali maumivu makali anayomsababishia mpenzi wake.
MWANZO UNAMUONYESHA MTU,upole,upendo,ustaarabu,unyenyekevu,ukarimu nk.
Naye anakutendea wema uleule.
UNAAMUA KUMUACHA MPENZI WAKO bila kosa lolote TENA KWA KILA AINA YA jeuri,dharau,matusi nk.
BAADAE SANA.
some weeks or some months or even after years.
UNARUDI UKILIA UNATAKA USAMEHEWE,tena kisingizio ni SHETANI(IBILISI) hata kama kanisani/msikitini huendi.
WHAAAT?lovers reason critically kabla ya kufanya maamuzi,TAMAA NI MBAYA.
ridhika na anaeheshimu hisia zako.
MAANA INATIA HURUMA KUMWACHA MTU KWA MBWEMBWE ALAFU UNAKUJA KUMLILIA haisidii na utakuta alishapoteza hisia kwako na mkirudiana haiwezi kuwa kama zamani mana ni kama kulazimisha hisia wakati zimeshapotea
 
One day my, weak heart will forget you!
 
Huyo anaewachwa nae anakubali kurejea? mie sirudi katu sirudi,na mungu annusuru na kiumbe kama hicho kuonananacho tena..........
 
So
sorry.
Many are not focused to future life

Wonderful enough she turned on me again, thinking that our past will
cross again....to be honest my weak heart cant bear....how ever this
time, i decided to betray my heart and focus on reasoning.........
 
What is the future?

Unaweza kumwacha mtu hata kama unampenda sana, tena kwa mbwembwe nyingi kulingana na sakamstansezi.

Sasa kama maumivu ya kumkosa(miss) yakiwa makubwa kuliko kosa alilofanya awali usimrudie? Samtaims unamrudia mtu kumkumbusha kuwa nilikuwa nakupenda, kama uko tayari tulisongeshe kama hauko tayari poa, ya nini uishi na duku duku la kwamba labda naye bado ananihitaji? Kwani kurudi na kulia lia kuna gharama gani? Kama ni machozi nikinywa glass moja tu ya maji machozi yanarudi.

Kuna wengine wanarudiana na wanaishi happly after ever (Fairy Tale), mapenzi hayana formula.
Kama vipi soma signature ya Bishanga utaelewa zaidi.
 
What is the future?

Unaweza kumwacha mtu hata kama unampenda sana, tena kwa mbwembwe nyingi
kulingana na sakamstansezi.

Sasa kama maumivu ya kumkosa(miss) yakiwa makubwa kuliko kosa alilofanya
awali usimrudie? Samtaims unamrudia mtu kumkumbusha kuwa nilikuwa
nakupenda, kama uko tayari tulisongeshe kama hauko tayari poa, ya nini
uishi na duku duku la kwamba labda naye bado ananihitaji? Kwani kurudi
na kulia lia kuna gharama gani? Kama ni machozi nikinywa glass moja tu
ya maji machozi yanarudi.

Kuna wengine wanarudiana na wanaishi happly after ever (Fair Tale),
mapenzi hayana formula.
Kama vipi soma signature ya Bishanga utaelewa
zaidi.

Nisomee signature ya Bishanga mwenzio nina kaMchina hakaonyeshi Signature
 
Last edited by a moderator:
What is the future?

Unaweza kumwacha mtu hata kama unampenda sana, tena kwa mbwembwe nyingi kulingana na sakamstansezi.

Sasa kama maumivu ya kumkosa(miss) yakiwa makubwa kuliko kosa alilofanya awali usimrudie? Samtaims unamrudia mtu kumkumbusha kuwa nilikuwa nakupenda, kama uko tayari tulisongeshe kama hauko tayari poa, ya nini uishi na duku duku la kwamba labda naye bado ananihitaji? Kwani kurudi na kulia lia kuna gharama gani? Kama ni machozi nikinywa glass moja tu ya maji machozi yanarudi.

Kuna wengine wanarudiana na wanaishi happly after ever (Fair Tale), mapenzi hayana formula.
Kama vipi soma signature ya Bishanga utaelewa zaidi.

Kama kuna kaukweli! (aagh! not perfect!)
for my experience, binafsi inanitokea sana, kuna mdada tulianza mapenz zaman sana (demu wangu wa kwanza) mh! Tunaachana, tunarudiana, akiniacha yy, anambwembe na dharau, then anarudi. Lakin Kwa sasa NIMESHAIZUIA HIYO HALI!
Yale yale MZOEA VYA KUNYONGA....!
 
Last edited by a moderator:
Mie kuna best angu alimwagwa kwa mbwembwe na matarumbeta kisa hajapanda vidato, alilia akawa mdogo kama piriton.Baada ya miaka 3 yule mwanamme akamrudia AKALIA HADI DAMU, binti akampokea.

Wameoana, wana watoto 2, na wamesonga mbele kimaisha kama movie(binti hajasoma sana ila elimu ya mtaani ya biashara anayo sana tu, mwanamme white color job, mangereza ya kufa mtu)

Kwa hiyo haya mambo hayana formula kivile.

Ahaahaaa! Umenichekesha "...jamaa kawa mdogo kama piriton..."
Nikubaliane nawe tu! Mapenzi hayana formular.
 
Kwani lazima urudi kwake, kwani hawapo wengine??

Inatokea,kama kila uliyemparamia kakvenda na huna uhakika wa kumpata ambaye hatakutenda,ukikumbuka uliyemuacha bila sababu hakuwahi hata kuonyesha dalili ya kukutenda
 
Huyo anaewachwa nae anakubali kurejea? mie sirudi katu sirudi,na mungu annusuru na kiumbe kama hicho kuonananacho tena..........

Hata akikubali,hakuna tena upendo wa awali na itakuwa sawa na kukubali bora liende.
Mambo mengine hayahitaji hata kusali,uamuzi wa kumwacha unaufanya mwenyewe huku hajakukosea.
Malipo ni hapa hapa bongo
 
Wonderful enough she turned on me again, thinking that our past will
cross again....to be honest my weak heart cant bear....how ever this
time, i decided to betray my heart and focus on reasoning.........

ukweli uko hivi,even if you rejuvinate your relationship,your minds wont forget the incidence and this is a crack where your love will leak and you cant trust anymore and finally you will has no feeling to ua ex and you will rebreak.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom