Kulupura
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,174
- 1,289
AiseeBaasi mmepata kamsemo kapya mnajiona wajaaanja!!! Kumbe ujinga tu hamuwezi kushindana na mlipotokea mtashindwa tu
AiseeBaasi mmepata kamsemo kapya mnajiona wajaaanja!!! Kumbe ujinga tu hamuwezi kushindana na mlipotokea mtashindwa tu
Nimeanza kifikilia ujinga sasa nataka nianze vita na papuchi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baasi mmepata kamsemo kapya mnajiona wajaaanja!!! Kumbe ujinga tu hamuwezi kushindana na mlipotokea mtashindwa tu
Nani kashindana hapa ..
JamaaaniWap udongoni au?
Nimeanza kifikilia ujinga sasa nataka nianze vita na papuchi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mpuuzi mpuuzi tu
😂😂😂 sounds funny ila ni utoto wa hali ya juuNimetokea kumkubali Diamond Platinumz zaidi aisee yani jamaa anasema ukweli mchungu.
Zari kagongeka mpaka na Jamaa wa Gym sasa Mondi katupa njia rahisi ya Kufanya mwanamke king'ang'anizi akuachee.. Unampiga matukioo mpaka Najikataa mwenyewee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wale waliowahi kuwapiga matukio wanawake zao mpaka wakanyoosha mikono ebu tushuhudiee hapaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo chachaTukio la kwanza unaanza watongoza marafiki zake ambao unajua lazma watamuambia[emoji38][emoji38][emoji38]
Hii nilishaitumia..Unamuomba tigo tu
Yaani wewe siku ya mwisho Mungu atakusimamisha kama mfano mbele ya watu wote,akili zako hata shetani hazitsmbui[emoji1787][emoji1787]Hii nilishaitumia..
Wa kwanza akakubali nikamwacha kwa kukubali kitendo kiovu
Wa pili akakataa nikampiga chini kwa kunikatalia ombi langu
Yani hapo hatoki
Yaani we ndugu shetani nae amekaa pembeni anachukua notes kwako aiseeHii nilishaitumia..
Wa kwanza akakubali nikamwacha kwa kukubali kitendo kiovu
Wa pili akakataa nikampiga chini kwa kunikatalia ombi langu
Yani hapo hatoki
[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] aisee wee balaaHii nilishaitumia..
Wa kwanza akakubali nikamwacha kwa kukubali kitendo kiovu
Wa pili akakataa nikampiga chini kwa kunikatalia ombi langu
Yani hapo hatoki
AiseeTukio la kwanza unaanza watongoza marafiki zake ambao unajua lazma watamuambia[emoji38][emoji38][emoji38]
Ndugu kwa matendo yanayo endelea kwa Sasa hata Lucifer anashangaa 😀😀😀😀😀Yaani wewe siku ya mwisho Mungu atakusimamisha kama mfano mbele ya watu wote,akili zako hata shetani hazitsmbui[emoji1787][emoji1787]
Kugongewa inauma aisee...Baasi mmepata kamsemo kapya mnajiona wajaaanja!!! Kumbe ujinga tu hamuwezi kushindana na mlipotokea mtashindwa tu
😂😂😂😂😂😂Unaweza piga matukio hata ukoo wake mzima lakini yeye anatafuta yule mzembe wa troop yenu anamtunuku!..
Hapo sasa ndo unapoijua kazi ya moyo!..😀😀