Unampiga Matukio Demu wako mpaka anasepa mwenyewe

Unampiga Matukio Demu wako mpaka anasepa mwenyewe

La pili,kama beki tatu yupo unakula
la tatu,unamtongoza dada yake au mdogo wake,
wengine waendelee
 
Nimetokea kumkubali Diamond platinumz zaidi aisee yani jamaa anasema ukweli mchunguu.. Zari kagongeka mpaka na Jamaa wa Gym sasa Mondi katupa njia rahisi ya Kufanya mwanamke king'ang'anizi akuachee.. Unampiga matukioo mpaka Najikataa mwenyewee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wale waliowahi kuwapiga matukio wanawake zao mpaka wakanyoosha mikono ebu tushuhudiee hapaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mimi mbona ndo ilikua tabia yangu unampiga matukio mpaka anaomba poo mwenyewe. yaan anaondoka bila kuaga. Kuna huyo dem mmoja miaka ya nyuma alining'ang'ania sana, nikatembea na dada yake na yeye alijua. Mbona aliondoka mwenyewe kimya kimya hapo kuna matukio kibao nilishampiga lakini wap mwisho akanyoosha mikono mwenyewe.
 
Mwisho wa ubaya ni aibu.......Domo ataumbuka kutupiana vijembe na maduu!!!!
 
Usijisumbue sana kutaka kumfaham mwanamke utaumia we mfanyie unavojiskia ila usivunje sheria za nchi tu
Wapo mzee anakwambia kwanza wanaume wote ni wale walee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]
 
Kwani hili ni jipya kwa wanaume au kwa sababu kasema mondi ilikuwepo kabla ya nenda kamwambie
 
Back
Top Bottom