Unampiga Matukio Demu wako mpaka anasepa mwenyewe

Unampiga Matukio Demu wako mpaka anasepa mwenyewe

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,170
Reaction score
43,980
Nimetokea kumkubali Diamond Platinumz zaidi aisee yani jamaa anasema ukweli mchungu.

Zari kagongeka mpaka na Jamaa wa Gym sasa Mondi katupa njia rahisi ya Kufanya mwanamke king'ang'anizi akuachee.. Unampiga matukioo mpaka Najikataa mwenyewee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wale waliowahi kuwapiga matukio wanawake zao mpaka wakanyoosha mikono ebu tushuhudiee hapaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baasi mmepata kamsemo kapya mnajiona wajaaanja!!! Kumbe ujinga tu hamuwezi kushindana na mlipotokea mtashindwa tu
Vita ya ma love davi haijawahi kuwa na mshindi hata siku moja.
Time Will tell us.
 
Ngoja nikusaidie[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Kama wale wadada wa kwenye Barber Shop ama.....??[emoji3][emoji3][emoji3]
 
tukio la kwanza unaanza watongoza marafiki zake ambao unajua lazma watamuambia[emoji38][emoji38][emoji38]
Hiii noma sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unawalaa kabisaa
 
Baasi mmepata kamsemo kapya mnajiona wajaaanja!!! Kumbe ujinga tu hamuwezi kushindana na mlipotokea mtashindwa tu
Mwanaume hashindwii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom