Unampiga Matukio Demu wako mpaka anasepa mwenyewe

Tukio la pili na yeye anajipeleka magettoni kwa marafiki zako kuona kama watakataa!..
Kumpiga matukio mwanamke ni utoto, kazingua muachane kwa kikao!..
Kuna wana wanapiga matukio hadi nduguu za demuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mara nyingi wanaume ndo wanaopoteza jaribu kufatilia,,, wanawake tuko imara sana kuhimili hizi drama za mapenzi
Ni kweli ila na sisi matamanio ni nature kama tumeumbiwa.walahi ukimkuta mwanaume hana mchepuko anaheshimu ndo uyo ni made from God.,mimi pamoja na elimu yangu ya dunia na ahera yaani nmefeli japo sio mchepukaji wa frequently.
 
Kinachowaua cha kwanza ni hiki 'ego' yaani hampendi kuonekana ni weak mbele yetu mwishowe ni presha ama kujiua mwisho wa story
Ahaa najiua kama sina Pesa aisee ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama pesa ninayooo no way mtaliaa mpaka mjutee
 
Ni kweli ila na sisi matamanio ni nature kama tumeumbiwa.walahi ukimkuta mwanaume hana mchepuko anaheshimu ndo uyo ni made from God.,mimi pamoja na elimu yangu ya dunia na ahera yaani nmefeli japo sio mchepukaji wa frequently.
Ukichepuka mkeo asikudabe na heshima yake unampa na miamala unatoa,, condom unatumia au unawapima unaowatomber safi tu we piga mzee ndoho tabu
 
Ni kweli ila na sisi matamanio ni nature kama tumeumbiwa.walahi ukimkuta mwanaume hana mchepuko anaheshimu ndo uyo ni made from God.,mimi pamoja na elimu yangu ya dunia na ahera yaani nmefeli japo sio mchepukaji wa frequently.
Mwanaume Kuchepuka ipo ndani ya Damuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kinachowaua cha kwanza ni hiki 'ego' yaani hampendi kuonekana ni weak mbele yetu mwishowe ni presha ama kujiua mwisho wa story
Wanaume bwana, ndio maana wanakufa mapema...fikiria mtu anaumia ila nje anajifanya everything is okey mwisho wa siku unasikia mtu amedondoka ghafla kumbe ana mambo kibao yalikuwa yanamtafuna ndani kwa ndani
 
😂😂😂😂😂😂😂
kaniacha hoi sana na uo msemo aiseee, daah
 
Wanaume bwana, ndio maana wanakufa mapema...fikiria mtu anaumia ila nje anajifanya everything is okey mwisho wa siku unasikia mtu amedondoka ghafla kumbe ana mambo kibao yalikuwa yanamtafuna ndani kwa ndani
Hapo ndo wanapofiaga
 
Back
Top Bottom