Hahaha bill duke jamaa hatari balaa uso mbuzi mwanzo mwisho.
Mwenye picha ya jamaa akicheka aweke jamani
Enzi hizooo, tulikuwa tunamuita Massawe.
Wachagga bhana sasa huyu kwani ni mchagga?
Massawee..
Enzi hizo Kijenge pale mitaa ya Bijampola..Sinema la predator na commando lilikua likionyweshwa daily..na huyo jamaa watu walikua wanamkubali balaa wakampachika jina la Massaweee(linatamkwa na lafudhi flani hivi ya chugga)...