Aiylan wasalan
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,384
- 3,264
Yuko sawa,Italy na Germany walkutana semi final!!2006 fainali ni kati ya Italy na France sio Germany.
Tukio maarufu ni red card ya Zidane kufuatia kumtwika kichwa Gattuso.
Recheck your facts.
Limbukeni ni wewe ambaye nikikomba uniwekee mahali nilipokataa sijakosea hautaniwekea.Hilo ni lishamba na limbukeni, anahisi mtu kusahauni jambo la ajabu...
Yeye akuandika semifinal aliandika fainali.Yuko sawa,Italy na Germany walkutana semi final!!
Post namba 41 nakunukuuKwani kuna sehemu nimekataa sijakosea?
Nikikuoekea ushahidi wa kukubali utasemaje?
Msipende ku skip comments someni zote muelewe.
Wewe urakuwa una jambo lako binafsi na mimi.Post namba 41 nakunukuu
"Sijamlazimisha huo ni ukweli.
Alikosea.
Mimi kukosea kwangu kwa kuandika Gattuso akufanyi yeye awe sahahi kwa kusema fainali ni kati ya Italy na Germany.
By the way ni kumbukumbu tu zilinipotea ni muda mrefu since nishuhudie hiyo game.
Wewe umemrekebisha jamaa aliyesema kuhusu mechi ya Germany vs Italy na kisha ukakosea kuhusu aliyepigwa kichwa ndipo watu wakaruka na wewe kuwa sio Gatuso ni Materazzi. Wewe umeingiwa na jazba kukosolewa na umekiri kuwa ni tukio la muda mrefu, sasa unamkomalia mwenzio aliyesema fainali ya Germany vs Italy ndiye mwenye mapungufu ya kukosea? Kukosea ni jambo la kawaida kwa binadamu ila wewe unataka kuonesha kama kitu cha ajabu vile.
Aliyepigwa kichwa cha tumboni ni Marco Materazzi siyo Gatusso...2006 fainali ni kati ya Italy na France sio Germany.
Tukio maarufu ni red card ya Zidane kufuatia kumtwika kichwa Gattuso.
Recheck your facts.
Hii ndio hasara ya ku skip comments.Aliyepigwa kichwa cha tumboni ni Marco Materazzi siyo Gatusso...
Recheck your fact as well..
hii mechi , Delpiero, aliingia kama super sub,alipiga first touch moja ya hatari aliyofungia goli la pili na kuwaua kabisa germanyFainali za World cup mwaka 2006 mechi ya nusu fainali kati ya Italy vs Germany, alisema Italy ni kama sponchi inavyoweza kustahimili maji. Hivyo ukiwapelekea mashambulizi wao wanayakabili tu bila shida yeyote. Germany akafa goli 2 kwa 0 chuma zote zimeingia extra time baada ya dakika 90 kumalizika 0-0
ilikua nusu fainali kama sijasahau2006 fainali ni kati ya Italy na France sio Germany.
Tukio maarufu ni red card ya Zidane kufuatia kumtwika kichwa Materrazi.
Recheck your facts.
Yeah.ilikua nusu fainali kama sijasahau
Germany walipigwa magoli ya counterhii mechi , Delpiero, aliingia kama super sub,alipiga first touch moja ya hatari aliyofungia goli la pili na kuwaua kabisa germany
Gilardinho to Pierlo ?Germany walipigwa magoli ya counter View attachment 3280454
Fabio grosso na del pieroooooo.Fainali za World cup mwaka 2006 mechi ya nusu fainali kati ya Italy vs Germany, alisema Italy ni kama sponchi inavyoweza kustahimili maji. Hivyo ukiwapelekea mashambulizi wao wanayakabili tu bila shida yeyote. Germany akafa goli 2 kwa 0 chuma zote zimeingia extra time baada ya dakika 90 kumalizika 0-0