Unamkumbuka Dk. Leakey Abdallah?

Unamkumbuka Dk. Leakey Abdallah?

Clayton Paul

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
2,130
Reaction score
4,391
1738087957047.jpg

Rejea Majukwa makubwa ya soka Enzi hizo kama
•Ligi kuu za Ulaya
•UEFA Champions league
•FIFA World Cup

Unamkumbukaje Mzee wetu Dokta Leakey Abdallah ?
 
Fainali za World cup mwaka 2006 mechi ya nusu fainali kati ya Italy vs Germany, alisema Italy ni kama sponchi inavyoweza kustahimili maji. Hivyo ukiwapelekea mashambulizi wao wanayakabili tu bila shida yeyote. Germany akafa goli 2 kwa 0 chuma zote zimeingia extra time baada ya dakika 90 kumalizika 0-0
 
Fainali ya World cup mwaka 2006 kati ya Italy vs Germany, alisema Italy ni kama sponchi inavyoweza kustahimili maji. Hivyo ukiwapelekea mashambulizi wao wanayakabili tu bila shida yeyote. Germany akafa goli 2 kwa 0 chuma zote zimeingia extra time baada ya dakika 90 kumalizika 0-0
Mzee alikuwa fundi ana reference za kutosha😂
 
Fainali ya World cup mwaka 2006 kati ya Italy vs Germany, alisema Italy ni kama sponchi inavyoweza kustahimili maji. Hivyo ukiwapelekea mashambulizi wao wanayakabili tu bila shida yeyote. Germany akafa goli 2 kwa 0 chuma zote zimeingia extra time baada ya dakika 90 kumalizika 0-0
2006 fainali ni kati ya Italy na France sio Germany.

Tukio maarufu ni red card ya Zidane kufuatia kumtwika kichwa Materrazi.

Recheck your facts.
 
Back
Top Bottom