Unamkumbuka Crush wako wa utotoni? That was real and only unconditional love you will ever experience

Dah aisee nimekumbuka mbali mno hakika yale yalikuwa mapenzi ya dhati,
Unampenda mtu bila hata makeup wala mawigi kanyoa kipara,
Tulikuwa pamoja since form 2 mpaka elimu ya Advance mwanzoni pale tukapotezana bila hata kutamkiana mabaya, Aisee yule mrembo baada ya miaka mingi kupita juzi nilikutana nae, tena nakaa nae mtaa mmoja,
Siku naenda zangu sokoni kununua vitu vya kupika hamadi uso kwa uso na mrembo moyo wangu ulishtuka sana nilitamani kumkumbatia kwa furaha niliyokuwa nayo ila nilishindwa,
Hapa naona kabisa kuna nguvu inataka kuturudisha japo kimawazo na kimatendo tutakuwa tumebadilika tofauti na zamani,
Nahofia labda mwenzangu atakuwa amebadilika nabaki kujituliza tu
 
Kwa kweli my dear .Ila bado nahisi nitaenda kumwona siku moja .Uzuri alikuwa anajua one of his friend aliniambia akiwa mzima aliniulizia ila sasa sidhani kama angeendelea kuwa my crush .Ninachisikitika ni maisha yake ya sasa tu

Upendo ni Mungu.

Upendo unapokuwa asili bila mapenzi ndani yake ni utu.

Mungu akutie nguvu, hatuijui kesho yetu, si ajabu baada ya kukuona ukampa tumaini na nguvu kutoka ndani yake ya kuinuka tena kwa kutia bidii kwenye mazoezi.

Kila la kheri.
 
Sasa sijui tuwataje wangapi...maana kuna wale wadada wakuu walikuwa wanakuwa visu hatari!
wapo wengi kwa kweli , Awali nilianzaga kujikuta nampenda mtoto wa Mwalimu wetu hisia za mapenzi zilikuwa nikitu kipya Kwangu so nikawa nashangaa hiki Ni kitu gani Daahh!!! Nilimpenda yule binti licha ya kunipita madarasa mawili , Alipomaliza shule Ni kabaki mpweke..Mungu si-athumani Wala mzee Juma makomeo Hamadi macho yangu yakaja kumuona binti 1 hivi matata sana Aisee nilijikuta nampenda Sana yule binti , naamini katika maisha yangu sijawahi kupenda tena kwa kiwango kile ..

Hii ni sababu 1 wapo inayo nifanyaga niamini kwamba life isn't fair Maana unampenda Mtu /mnapendana but Nature ina wa- separate
 
Dah aisee nimekumbuka mbali mno hakika yale yalikuwa mapenzi ya dhati,
Unampenda mtu bila hata makeup wala mawigi kanyoa kipara,
Tulikuwa pamoja since form 2 mpaka elimu ya Advance mwanzoni pale tukapotezana bila hata kutamkiana mabaya, Aisee yule mrembo baada ya miaka mingi kupita juzi nilikutana nae, tena nakaa nae mtaa mmoja,
Siku naenda zangu sokoni kununua vitu vya kupika hamadi uso kwa uso na mrembo moyo wangu ulishtuka sana nilitamani kumkumbatia kwa furaha niliyokuwa nayo ila nilishindwa,
Hapa naona kabisa kuna nguvu inataka kuturudisha japo kimawazo na kimatendo tutakuwa tumebadilika tofauti na zamani,
Nahofia labda mwenzangu atakuwa amebadilika nabaki kujituliza tu

Kama wote bado mko singo, endelezeeni mlipoishia.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ulikuwa ZOBA kweli Mkuu! Au hakuwa mzuri 🤣🤣🤣🤣🤣
Nakumbuka darasa la kwanza alinitamkia mbele ya darasa "nakupenda" mm nae badala nifrahii nikaona ananiabisha nikawa nampiga ila hakomi 2017 nilikutan nae anajitambulisha muda huo ata simkumbuki
 
Sabra, Rosemary, Lilian & Queen!

My youngster crushes! Was sure about Lilian, Rosemary & Queen ila domo langu lilikuwa zito kama tenga la nazi
by the way Umalaya umeanza kitambo Mimi Sasa katika makuzi yangu nakumbuka nilikuwa napendwa Sana. Na mabinti vibaya mnooo Ajabu nikwamba nilikuwaga boya eti wengine nawakataa tena ile live live kabisa , Nikiwa Darasa la 7 tu niliwahi sababisha mabinti wa 2 kugombana halafu kati Yao Sasa sikuwa kumkula hata 1 ,,
Kuna 1 nakumbuka kipindi hicho tupo Darasa la 6 Basi Aliwahi kuwa tuma rafiki zake wawili wanifuate halafu wanieleze kuwa ananipenda Sana , Basi nikawajibu mwambieni simpendi Nina mp enzi wangu (Aisee nilikuwa boya Sana )
 
Jackie popote ulipo, nilikupenda sana.
Mtoto ana nyusi kama za bandia kumbe ni natural, nywele za singa.
Kweli ulibarikiwa uzuri lakini maisha yako ya elimu yaliharibika vibaya kutokana na misfortunes zilizotokea baada ya kumaliza shule.
Niliporudi likizo ya kwanza kijijini na kukuulizia, habari nilizo pata nilitokwa na machozi. Sasa nimebaki na picha tuliyopiga pamoja siku ya kumaliza primary lakini kamwe sitakusahua.

Jamani ukimpenda mtu mwambie. Ukikaa kimya unaidhulumu nafsi yako.
 
by the way Umalaya umeanza kitambo Mimi Sasa katika makuzi yangu nakumbuka nilikuwa napendwa Sana. Na mabinti vibaya mnooo Ajabu nikwamba nilikuwaga boya eti wengine nawakataa tena ile live live kabisa , Nikiwa Darasa la 7 tu niliwahi sababisha mabinti wa 2 kugombana halafu kati Yao Sasa sikuwa kumkula hata 1 ,,
Kuna 1 nakumbuka kipindi hicho tupo Darasa la 6 Basi Aliwahi kuwa tuma rafiki zake wawili wanifuate halafu wanieleze kuwa ananipenda Sana , Basi nikawajibu mwambieni simpendi Nina mp enzi wangu (Aisee nilikuwa boya Sana )

Ndo utoto wenyewe huo ....
 
Crush wangu primary alinifanya nipende Maths, then tukaenda sec wote, nakumbuka tulikuwa tunapiga tuition kwa ticha mmoja, ila tunapishana muda, halafu alivyo na tabia mbaya yeye akitoka alikuwa ananisubiri mpaka namimi nafika kwa ticha...ananipa hi na vijizawadi...
Nakumbuka ule muda napokea zawadi nilivyokuwa na sweat na ku shake!!!
Then tukapotezana tulivyoenda high school!!! Maana na babaake alihamishia familia yote nje...
Sikuwahi kumuona tenaa...si fb, si insta si magroup ya shule!! Na habar zake sijazisikia popote...ila deep down na amin yupo safe..
Bado nakumbuka kila kitu chake...
 
Mimi wa kwangu nikimuona sasa hivi najiuliza hivi macho yangu yalikuwa na matatzo gani nilikuwa ninaona nini kwake
Secondary's Crush Sophia Mungu anakuona.
Alijua kabisa mimi ni domo zege ila akawa anajifanya haoni richa ya kumwandikia sana noticies za Biology na michoro kama yote. Nimeandika sana vinemo katikati ya daftari lake la Bios ila anauchuna tu. Nilimpenda sana nikapenda mwandiko wake nikapenda hadi mtaa aliokua anaishi. Kuna wakati nilikua Natamani sana niisukune nyumba yetu hadi mtaani kwao niwe namuona....Nilimchukia baba kwakutokununua kiwanja mtaani kwa Sofia

2019 alinitafuta baada ya miaka mingi kupotezana ila sikua nampenda hata robo... Siwezi kumpenda tena mtu ambae simpendi.

Love is fate and rare not everyone can have it
we mpende uone kama hutompenda!
 
Kashoelewa Zambia, nisingeweza kumpenda tena hata iweje. Nikisema Nakupenda basi hua imetoka ndani kabisa ya roho yangu na nikishakutoa basi siwezi kukurudisha tena. I don't love someone for the sake of Sex. Alivyonitafuta lengo lake lilikua hilo, Siwezi make love na mtu nisiyempenda hata iweje. Labda unibake..
Hivi wanaume nao wanabakwa?
 
Back
Top Bottom