Unamkubali kwa asilimia ngapi?

Dec 14, 2016
35
43
Uyu ni up coming artist kwenye sekta ya uchekeshaji kama alivyo,jina la sanaa anajulikana kama MKALI WENU,
bf84abcd3d930f238a611facc72700d4.jpg

Je unamkubali kwa asilimia ngapi??
 
Kuna siku aliNifurahisha sana na kale ka demu ka ebitoke nakakubali sana

Huyu anakula 150%
 
Mtanisamehe kwa kweli hata simjui.,labda utiririke zaidi au nim~google.
 
ivi Tz kuwa comedy mpaka uvae nguo masulupweta au za kike mbona wakina kevin hart, chris rock wanavaa smart ila lazima uchekee tu
 
Back
Top Bottom