Unamkataliaje rafiki?

Kweli baniani mbaya ila kiatu chake dawa!

Tunasemaga kila siku ifike mahali dada zetu muelewe tu kwamba u cant eat ur cake and have it...

sasa wewe unataka kazi, msaada wa kimasomo, na favour kibao, hapo makalio wala meno yake huyaoni....inapofika kwenye kukutaka kimapenzi, hapo vyote hadi ucongo wake unauona

hebu tuambie, hiyo likizo yako ya mapenzi inaisha lini, kama kweli ipo ama ni kwa vile hajajitokeza tu wa kukidhi 'vigezo' vyako

to me thats very inhuman na najaribu kuimaginen hiyo elimu ya nje ya nchi inakusaidiaje kuelimika bora ungekuwa unasoma hapa hapa labda ungeelimika kujua namna ya kusitiri utu wa mwenzako!

kaizer wangu huyo ameongea.
Nikuletee nini mtoto mzuri?lol!
 
lol! we dada wewe i ca't u (sikuwezi) ulivomkandia jamaa utafikiri huwa tuanandka barua za maombi kwa sir God atupe maumbo fulani. acha kufuru ndugu yangu hujafa hujaumbika na wala hujazaa bado. kwa staili yako hii ya kupenda shape utapotea ndugu. kwa mfano ukimpenda mtu mnene na bahati mbaya akaugua akakonda mapenzi yataisha???? kama jamaa humpendi we mkaukie na wala ukiwa nae usizungumzie kuhusu mapenzi akileta mada ya mapenzi we mkatishe mwambie usingependa kuongelea. akikomaaa na we unakomaa na msimamo wako. in the mean time tafuta mpenzi achana na hayo maisha uliochagua ya relationship holiday yanakufundisha kuwa selfish.
 
Mueleze tu kiheshima kuwa urafiki wenu si wa mapenzi...unajua wanaume wengi huwa ukiwafanya rafiki wa karibu wao wanawaza tofauti....kwani nyi wanaume hamuwezi kuwa close na msichana na mkawa good friends without thinking of love?...mi nafikiri inawezekana ila ni kujilemaza tu na fikra duni.
 
Back
Top Bottom