Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,350
Ungekua hutaki kumuumiza usingemchambua hivi...maana angeona unavyomfikiria angekoma kukujua!Mwambie tu humtaki...usimpe habari za sijui sina muda maana anaweza kukwambij ntasubiri mpaka uwe nao!Mwambie humtaki alafu punguza mazoea nae kwa muda...kama ulikua unamtumia kwa mambo yako binfsi nayo yaweke kando usiendelee kumpa moyo kwa kutaka yake akabaki akijua iko siku utamlipa!
na kazi anayoisubiria je?..binti hayupo serious,wakati huu ni wakufundishaa kumkataa m2?ni kama vile hajawahi kukmkataa m2 au ndio anasubiria kazi? kwangu mie anataka tips za kumzuga jamaa mpaka afanikiwe kumpatia kazi then ndio atajuaa cha kumwambia...